Sabodo atoa rambirambi kwa Wahanga.

Sabodo is very genuine. He doesn't give a hoot!

I wish Mengi angekuwa walau hata 25% ya huyu mzee.... maana yeye amekalia kujitafutia umaarufu wa kumletea maslahi binafsi.
Sipendi particularly anavyomfagiliaga JK.
 
Huyu mzee anajua kuwa tutakufa na kuziacha pesa!ubinadamu ndicho kitu cha maana
 
Sabodo is very genuine. He doesn't give a hoot!

I wish Mengi angekuwa walau hata 25% ya huyu mzee.... maana yeye amekalia kujitafutia umaarufu wa kumletea maslahi binafsi.
Sipendi particularly anavyomfagiliaga JK.
Nakubali kweli tunatofautiana kimtizamo!..
Kwahiyo mkuu unaona misaada ya Mengi kwa jamii iko well-less than 25% ya Sabodo?...
Nakubali kutofautiana!...Ni haki ya bure ya kila mwanajamvi..
 
Mungu akuzidishie Mzee, ww ni wa ukweli hauangalii chama bali unajali wa tz big up sana, inaowakera wacha ile kwao maana hata mkwere, pinda na wengine design yao wako kimya utadhani ni msiba wa CDM wakati ni wa wa tz wote,
 
Marehemu walikua kwenye maandamano ya amani yaliyoongozwa na CHADEMA. So, nafikiri mtu anaweza kuupa msiba jina lolote lile analotaka lakini mazingira ya kifo kutokea yanabaki palepale.
Mkuu, we ulisoma propaganda kule Yugoslavia 1976 nini?...Kama vile nakujua!
Umeiweka vizuri hiyo maneno, na inamezeka kirahisi sasa!
 
Huyu mzee ni mzalendo wa kweli

he is a patriot of democracy... he has shown maturity and he has never fear anyone in siding with opposition as he is a cadre of sisiem, i commend mr. Sabodo and long live for Tanzanians
 
Huyu Sabodo ni mfano wa kuigwa.
Matajiri wengine wanajipendekeza tu kwa watawala waovu na mafisadi wenzao lakini huyo amekuwa akionyesha moyo wa kizalendo.
 
safi sana Mungu amuongezee kwenye utajiri wake, vipi Mengi naye? hao Majirani zake wa Arusha ua anatoa kwa Vikoba akina Mama tu maana Mzee Huyu naye....... sijui uoga!!!
 
Watanzani wenye mijihela wote wangekuwa na moyo wa ujasiri kama wa uyu jamaa seriously tungekuwa mbali sana.
Sabodo mola akuongezee mara dufu
 
Ukiendekeza umalaya haya ndo yanayokukuta,hivi unadhani mwanamke umemuokota ukamvisha ukampa ukatibu wa ccm arusha ukampa udiwani viti maalum ukampa kitu yako ATAKUHESHIMU?!!haya ndo yanamkuta JK mzee wa totoz, yalikuwa ya sofia simba, sasa yamekuwa ya Mary Chatanda,bado wengine including ..... wa BoT Dodoma,mbunge viti maalum hukoooooo Mwanza lol..
 
Wakuu,
Ni ajabu na kweli.
.
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo kuwa Mfanyabiashara Sabodo ametoa tshs 5M kwa familia ya Ismail, na tshs 5M kwa familia ya Denis, kama rambirambi zake kwa familia za marehemu wanamapinduzi na wapenda amani hao, waliouwawa na polisi mkoani Arusha.

Tunamshukuru sana Mh.Sabodo kwa salamu hizo ambazo tunaamini kuwa zitasaidia japo kwa kiasi fulani kuzifariji familia hizi, Mungu amzidishie mara mia…Amen.

Mungu ampe uimara na nguvu azidi kuimarisha ukombozi wa umma kwa hali na mali alizojaliwa, na tunamwombea Mola amlinde ili aweze kuwepo ktk Uwanja Mpya wa Taifa hapo 2015 kuhudhuria kuapishwa kwa Rais wa Umma na kipenzi cha watu, Dr W. P. Slaa, maana kimbunga cha sasa kinaiacha CCM imekufa ifikapo mwanzoni mwa 2014...! (Provided kwamba JK hataikimbia Ikulu mapema zaidi maana hadi sasa ni miezi mi3 tu ila ameyumba kama vile ameongoza kwa miaka mingi kama Mugabe...tusubirie atakapotoka mkuku, kwa mujibu wa taarifa za 'kiintelijensia', yaelekea ataondoka Ikulu kabla ya 2014.
 
Nakubali kweli tunatofautiana kimtizamo!..
Kwahiyo mkuu unaona misaada ya Mengi kwa jamii iko well-less than 25% ya Sabodo?...
Nakubali kutofautiana!...Ni haki ya bure ya kila mwanajamvi..

Mzee, asante kwa ku-appreciate tofauti.....niwie radhi kwenye hili la Mengi tuendelee tu kutofautiana.

"Misaada mingi kwa jamii".....hii ndiyo picha ambayo huyu jamaa anataka tuione lakini kiukweli kuna ulterior motives!
 
Wakuu,
Ni ajabu na kweli.
.
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo kuwa Mfanyabiashara Sabodo ametoa tshs 5M kwa familia ya Ismail, na tshs 5M kwa familia ya Denis, kama rambirambi zake kwa familia za marehemu wanamapinduzi na wapenda amani hao, waliouwawa na polisi mkoani Arusha.

Tunamshukuru sana Mh.Sabodo kwa salamu hizo ambazo tunaamini kuwa zitasaidia japo kwa kiasi fulani kuzifariji familia hizi, Mungu amzidishie mara mia…Amen.

Mungu ampe uimara na nguvu azidi kuimarisha ukombozi wa umma kwa hali na mali alizojaliwa, na tunamwombea Mola amlinde ili aweze kuwepo ktk Uwanja Mpya wa Taifa hapo 2015 kuhudhuria kuapishwa kwa Rais wa Umma na kipenzi cha watu, Dr W. P. Slaa, maana kimbunga cha sasa kinaiacha CCM imekufa ifikapo mwanzoni mwa 2014...! (Provided kwamba JK hataikimbia Ikulu mapema zaidi maana hadi sasa ni miezi mi3 tu ila ameyumba kama vile ameongoza kwa miaka mingi kama Mugabe...tusubirie atakapotoka mkuku, kwa mujibu wa taarifa za 'kiintelijensia', yaelekea ataondoka Ikulu kabla ya 2014.
 
Hivi Pakajimmy, ulifanikiwa kunifahamu? Baada ya kukuagizia nilipo nilishtukia demu mbili zinanisogelea na kunipumulia kwa karibu sana zikichungulia naandika nini kwenye simu. Ilibidi niwape drill ya intelijensia!
 
Sabodo anajipendekeza tu kwa CDM.

Hawezi kusaidia wafiwa kimya kimya kama wafanyavyo wengi wenye pesa zao?

Mpaka apige tarumbeta???

Huo ni msaada wa kisiasa na kisanii. Ni unafiki, pia ni kuwadhalilisha wafiwa.

Shame on him.
 
Back
Top Bottom