Sabodo atoa Milioni 30 kwa Chadema Shinyanga

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Ni kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi ya Wilaya mpya ya Mbogwe. Nafikiri tunahitaji watu wengi wenye mtazamo wa Sabodo
 
huyu mzee ni shujaa. pamoja na kuwa mfanyabiashara mkubwa amesaidia sana upinzani na hasa CHADEMA bila kuogopa kufanyiwa zengwe na wenye dola. big up SABODO
 
...inabidi awe makini huyu vinginevyo Magamba wanaweza kabisa kumlambisha vya kumlambisha....maana hili la kada wa Magamba kuwapa CHADEMA bulungutu kama hili linawaumiza sana magamba na kuwakosesha usingizi.
 
Watu wenye fikra zao na pesa zao wana-support CHADEMA Mkuu sina chapaa kama jamaa kama ninjelikuwa kama jamaa ningetua hata zaidi ili vizazi na vizazi vinikumbuke!
 
Very good siku akitaka return ili muingie ndoa na ccm itakuwa ngumu sana kukataa..

Nimejifunza kitu chadema wanataka hela

CUF wanataka madaraka..
 
Very good siku akitaka return ili muingie ndoa na ccm itakuwa ngumu sana kukataa..

Nimejifunza kitu chadema wanataka hela

CUF wanataka madaraka..
Kwa hiyo akili yako ndiyo imegota hapo!!! Dunia hii ina viumbe wa ajabu sana.
 
Back
Top Bottom