Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

If I were a god, Sabodo would be immortal. . .Muchas Gracias

for sure, mzee huyu umri wake unakata sana, MUNGU ampe maisha marefu zaidi hadi aone Tanzania inapata kile anachokiamini. Awe kama SIMION wa kwenye bible aliyeahidiwa na malaika kuwa hatoonja mauti mpaka amwone YESU, na ndivyo ilivyo kuwa, baada ya kumwona alimshukuru MUNGU na kumwomba ampumzishe. I pray this for SABODO
 
Hii misaada ya kila kukicha toka kwa huyu mtu CDM muiangalie pia kwa macho mawili!It is just an alert!!
 
huyu ndie yule mtanzania asiyejua kiswahili

Kweli mkubwa ndevu na wala sio akili!wewe hukumsikia akiongea kiswahili wakati wa kukabidhi?!?sio ajabu katika post 222 una like 21 tu! hebu jaribu kuruhusu ubongo wako utumie angalau akili kidogo ulionayo acha na hizo ndevu hata mataaira wanazo:heh:
 
Hongerra sana mzee Sabodo,japo magamba wataibuka toka walipo na kuanza kutokwa povu ovyo,kwa wivu wao wa kijinga MUNGU AKUZIDISHIE NA AKUPE MAISHA MAREFU,
CHADEMA FOR LIFE.
 
Safi Sabodo, Wanahabari, Wanaharakati wa haki za Binadamu, Mawakili, ili la Mkapa Rais mstaafu kupiga Kampain za chaguzi ndogo ndio nini, Je anaendelea kupesa pesa za walipa kodi huku akitumikia CCM kama chama, je vyama vingine haviwezi kuomba ushauri kwake yeyekama Rais. au ana chuki za wazi wazi zidi ya democrasia ya kweli ya kushindana kwa sera kama ilivyo marekani badala ya matusi vijembe na Kejeli.
 
Wahindi tuwatazame kwa jicho la tatu,huyu mzee ndo alipinga NHC mpango wao wa kuwawezesha wazawa angalau nao wawe wapangaji mitaa ile mitakatifu,Rostam alianza hivihivi kwa CCM!
Inaweza kuwa Kweli but ROstam alikuwa anachangia kizani so kulikuwa na hidden but huyu yupo open pia anachangia hata huko CCM tangu enzi za JKN SO ITS OK Kwa mtazamo wangu cdm huwezi kulipwa nchi kama fadhila as the Gambaz do now to RA
 
mungu akuzidishie mh. sabodo nafikiri ni muhimu pia kuwasaidia ofisi chadema makao makuu kama ulivyosema
 
katika ujenzi bora wa taasisi yoyote..ambayo inapokea misaada ya aina yoyote...ni jambo jema sana kuanisha maihitaji ya taasisi katika malengo yake ili michango inapo tolewa iwe ni kazi rahisi kuielekeza mahali gani iende, pia kuondoa mivutano ya kimtazamo wapi iende..si nzuri sana unapopata msaada ndo ufikilie wapi pa kuipeleke.
 
katika ujenzi bora wa taasisi yoyote..ambayo inapokea misaada ya aina yoyote...ni jambo jema sana kuanisha maihitaji ya taasisi katika malengo yake ili michango inapo tolewa iwe ni kazi rahisi kuielekeza mahali gani iende, pia kuondoa mivutano ya kimtazamo wapi iende..si nzuri sana unapopata msaada ndo ufikilie wapi pa kuipeleke...kp it Sabodo
 
Wahindi tuwatazame kwa jicho la tatu,huyu mzee ndo alipinga NHC mpango wao wa kuwawezesha wazawa angalau nao wawe wapangaji mitaa ile mitakatifu,Rostam alianza hivihivi kwa CCM!
Mkulu najua unaamini kuwa si ponjoro wote niwabaya! Kama wapo wema basi huyu mzee ni mmoja wao maana anagalu anaguswa na matatizo ya watu na vile vile yuko well ballanced, last year alitoa visima kibao kwa Mwandosya
 
Mungu amzidishie siku za kuishi sabodo, CDM tumieni vizuri misaada ya sabodo isije kuleta mgogoro ndani ya chama.
 
asante sana shibodo Mungu akuzidishie.
My take chama kitumie hiyo ela kwa manufaa ya kuendeleza chama chetu cha peoples power.
Pia naogopa sana haya mambo ya kufadhiliwa sana na wafanya biashara maana kuna malipo yake because there is no free lunch in this world.
 
CCM CCM CCM!!!
Sikieni sauti hii iliayo toka kwa watanzania!
Tengenezeni bongo zenu!
Punguzeni matumbo yenu!
Kubalini na kuheshm uamuzi wa watz!
Vinginevyo:
NATABIRG:
VIONGOZI wenu wengi tukianza na Jay Kay na akifuatiwa na wanafiki wenzake,watakufa vifo vya aibu KABLA ya mwaka 2018!
Mwenye sikio na asikie!
Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom