Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

My worry wasije CCM wakaamua kumdhuru huyu mzee kutokana na kuwafadhili wapinzani wao. Otherwise, Mungu akuzidishie mzee Sabodo.
 
Tunashukuru mkuu sabondo kwa mchango wako hasa kuwakumbuka wananchi. si hapa na umethubutu
 
may GOD be with you mzee sabodo,akuongezee zaidi na zaidi..na wataopanga kukufanyia jambo lolote baya kwa kuisaidia cdm hakika hawataweza kwani cdm tunaye mungu wa wote asiye na upendeleo na asiye penda ufisadi kwa watu wake.
 
Huyu ni mzalendo toka enzi za J.K.Nyerere,na hela zake ni safi sio hela chafu!asante sana Mzee wetu Sabodo,God bless u a lot!aibu kwa Mkapa na C.c.m,kweli Nassari umekuja na baraka za Mungu
 
Wahindi tuwatazame kwa jicho la tatu,huyu mzee ndo alipinga NHC mpango wao wa kuwawezesha wazawa angalau nao wawe wapangaji mitaa ile mitakatifu,Rostam alianza hivihivi kwa CCM!
 
Aisee! inapendeza sana! mbarikiwe CDM na Sabodo pia, watz wanyonge wanahitaji ukombozi.
 
Wahindi tuwatazame kwa jicho la tatu,huyu mzee ndo alipinga NHC mpango wao wa kuwawezesha wazawa angalau nao wawe wapangaji mitaa ile mitakatifu,Rostam alianza hivihivi kwa CCM!

umetumwa ondoa kinyesi chako hapa,wewe unaijua histori ya rostam azizi ,mwache sabodo aendeleze harakati za ukombozi kwa watanzania .
 
Wahindi tuwatazame kwa jicho la tatu,huyu mzee ndo alipinga NHC mpango wao wa kuwawezesha wazawa angalau nao wawe wapangaji mitaa ile mitakatifu,Rostam alianza hivihivi kwa CCM!

Uliyajua ya Rostam mkuu kabla ya akina Dokta Slaa hawajayalipua? Ulijua kuwa hata Mkapa aliwahi kukutana na kukaa na Mkapa kujadili EPA, au unajua michango anayotoa Rostam kwa CCM na serikali yake. Unaijua? Nini huwa anazungumza wakati anatoa misaada hiyo? Kwa nini inafanyika kwa uficho.

Otherwise kutaka kumlinganisha Sabodo na Rostam, kuilinganisha CHADEMA na CCM bila hoja ya msingi ni kutaka ule mchezo wa magamba "tuchafuke wote". Bila hoja za mantiki haitafaulu hiyo.
 
Chonde chonde msije mka Mkolimba huyu Mzee SABODO ayafanyayo ni kwa manufaa na ustawi wa nchi.
 
Back
Top Bottom