sababu zinazofanya watoto kufaulu uku wakiwa awajui kusoma na kuandika

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
579746_475144862519689_1359163702_n.jpg 387140_4565912225360_627877157_n.jpg malezihayo.jpg
ulevi,malezi mabaya toka utoton
 
229866_469557773077718_762952981_n.jpg kids of today.jpg tamthilia zinawaaribu,wakat inabid ziangaliwe na watoto umri kuanzia miaka 18,pia wanaanza usistaduu mapema
 
228901_113287368822682_1341454556_n.jpg DSC06532.JPG 418760_345092985579868_596861254_n.jpg 418760_345092985579868_596861254_n.jpg wazazi pia wanachangia kuaribu watoto
 

Attachments

  • 340769_10151270343281617_885589101_o.jpg
    369.2 KB · Views: 103
Usenge high school!!! Mwanangu hasomi hata kwa kufadhiriwa na bill gates ... dhambi hata kwa shetani.
 
mwenyewe nilikuwa mwalimu wa sekondari moja hivi huko mbeya,madent kama sita walikuwa wachumba zangu,hakika hatukuwahi hata siku moja kuzungumzia mambo ya taaluma tunapokutana faragha,sasa nimeacha ualimu nina kazi nyingine ila najuta niliyokuwa nayafanya mana sasa ni mtu mzima pia nina watoto wa kike naogopa watafanyiwa kama nilivyokuwa kilaza kipindi kile
 
du mkuu apo juu kumbe ndio mnaumiza dada zetu ivo,mungu ameshakusamehe kwa kukiri kosa.wanafunz na waalimu wengi ni mulugo (vilaza) siku hiz
 
Back
Top Bottom