Sababu za wanaume heshima kushuka ndani ya ndoa

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
236
Sababu za wanaume heshima kushuka ndani ya ndoa hata kupelekea maneno ya kejeli kutoka kwa wanawake eti "Wanaume suruali" au Dar hakuna wanaume
 
Mkuu nilifikiri umefanya utafiti na kwamba unamwaga data hapa kumbe na wewe mwanaume suruali au?
 
Sababu za wanaume heshima kushuka ndani ya ndoa hata kupelekea maneno ya kejeli kutoka kwa wanawake eti "Wanaume suruali" au Dar hakuna wanaume
Ukosefu wa pesa, kupungua kwa nguvu kunako mambo fulani pamoja na kutokujiamini ndiyo sababu kuu zinazochangia tatizo hilo!
 
Siamini unayosema,kushuka kwa hofu ya Mungu ...kukataa wajibu wetu .......... kutofuata maandiko yanatufundisha nini kuhusu ndoa.

Ukosefu wa pesa, kupungua kwa nguvu kunako mambo fulani pamoja na kutokujiamini ndiyo sababu kuu zinazochangia tatizo hilo!
 
Siyo kweli,labda unipe data ni ngapi,kama unawajibika hamana kitu kama hicho.mwanaume ni mwanaume tu.
 
Back
Top Bottom