Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Ni sababu gani magurudumu ya magari yanatengenezwa kwa rangi nyeusi? Ni kwa sababu ya mambo ya temperature? Je materials labda?
Sijui utaalam wowote na utengenezati wa hizi tire pamoja na kutumika rangi nyeusi, ila japo tuvutie picha kama zingetumika rangi kama njano, kijani, nyekundu etc zingeleta mvuto kweli?
Nadhani kwakuwa zinakanyaga zaidi kwenye udongo, hasa kwa huku bongo basi kama ni suala la uchafu basi wangetengeneza brown. Ila kama ni lami bac nakuunga mkono.mbona zipo nyekundu za B/CLE pikipiki lakini sababu kubwa ni mazingira ya UCHAFU isichafuke alaka
Lami in Rangi gani kwani?
Carbon black, for obscure reasons, something that Mr Goodyear discovered by accident, greatly improves wear resistance, and coincidentally, wet traction. It does not make the rubber harder or softer as such, but improves both wear and traction.
Coloured treads do not contain carbon black or they would be black, because the amount of carbon is substantial (over 25%).
There is some sort of truth, but wht about some of motor bakes and bicycles' tires with different colors?
Ungetumia lugha ya kiswahili ungeeleweka zaidi au ndiyoupo kwenye majaribio ya kuandika kiingereza?Lami in Rangi gani kwani?