Sababu za kuwa na nyumba ndogo

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii nimefanya kuuliza watu kama 10 hivi), wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sio kitu kizuri nyumba ndogo na zishindwe ila wanawake mjitahidi kupepea ndoa zenu kwa kuwa wabunifu otherwise nyumba ndogo hazitaisha
 
kwa hiyo u are officially announcing 2 us all that wewe ni member mzuri wa nyumba ndogo and you are not going to quit very soon?
keep up the spirit kaka.
 
Wanaume hawajisahau eeh?! Kama huwasiliani na mwenzio kujua unachotaka yeye ataota?! Hebu tupe break wanawake.
Pia ujue miguno ya mahaba inaendana na mapenzi ya mahaba siyo kushindilia tu..Kama unahusudu nyumba ndogo hata upewe nini hutaridhika.
Ndoa inahitaji uvumilivu,upendo,heshima na kupepewa kutoka pande zote yani wanaume&wanawake, siyo tu wanawake!!
 
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii nimefanya kuuliza watu kama 10 hivi), wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sio kitu kizuri nyumba ndogo na zishindwe ila wanawake mjitahidi kupepea ndoa zenu kwa kuwa wabunifu otherwise nyumba ndogo hazitaisha

lord have mercy... mlio wa mahaba au mnaibiwa ili mfungue wallet zenu vizuri, halafu hii dhana ya kudai chanzo cha kutoka nje ni mwanamke, hebu mtupumzishe jamani, haina ukweli wowote....ni nyie na viranga vyenu tu.
 
sasa mnataka mpewe mlio wa mahaba wakati kazi unayofanya is below standards! aggggrrrr give us a break!

wanawake wana haki ya kufurahia tendo la ndoa kama wanaume, sasa hii ya kuwa mwanamke akigune japo haja feel raha siielewi hata kidogo.
 
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii nimefanya kuuliza watu kama 10 hivi), wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sio kitu kizuri nyumba ndogo na zishindwe ila wanawake mjitahidi kupepea ndoa zenu kwa kuwa wabunifu otherwise nyumba ndogo hazitaisha
Hamna lolote wanume pia mnajisahau mkishaingia kwenye ndoa mbona wanawavumilia pia sio swala la mwanamke swala ni kucommunicate nini mnataka kufanyiana ili mjenge penzi lenu maana kila siku lawama kwa mwanamke mbona hata nyie mnabadilika? zamani ulikuwa unapokea simu hello honey siku hz eeeh vp tena ya ukali!! lol
 
hapo limekuja limejichokea na mipombe yake, saa 5-6 ucku, linakuparamia then linataka miujiza kitandani....hawa viumbe bwana khaa.
 
Matumizi mabaya ya nguvu za kiume.
UNAKULA VIAGRA, NGISI NA PWEZA,
JE UNADHANI MKE MMOJA ATUKUTOSHELEZA?
TENA BADO HAPO HAPO ANAKULETEA VISINGIZIO KIBAO, KICHWA, KINAUMWA, MARA NIMECHOKA, MARA SIKO KWENYE MUDI....
BORA KUJICHAPA TU NA NYUMBA NDOGO
 
Shida ni pale wanawake msiporidhika hamsemi mnakaa kimya na kutuwekea visasi!

Nyumba ndogo isiporidhika inakupa live nishahudia rafiki yangu anafuatwa jioni na nyumba ndogo baada ya kuwa ametoa huduma hafifu ............weweeeeee!

Kuweni wa kweli wa nafsi zenu!
 
Wanawake ndio chanzo cha "nyumba ndogo". Baada ya kutoka "kanisani" wanawake udhania "wamemaliza kazi", but very unfortunately kumbe kazi ndio uwa inaanza. Uwa wanajisikia kama vile "wametua" mzigo fulani na matokeo yake yale mambo yoote yaliyokuwa yanatendeka wakati wa uchumba uanza ku-diminish polepole!
 
wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sasa kama ishu yenyewe ndio hiyo kwenye 'red' unataka mapenzi ya nn tena? ww hapo unataka fidia ya mahari na sio mapenzi! kwa sababu ww mwenyewe unakuwa huna mapenzi! dah..:frown: Kumbuka Love is a two way traffic...

Kweli watu wakitaka kuhalalisha ufedhuli wanatafuta sababu lukuki....
 
Mapenzi ni kushirikiana,kukumbushana na si kutegeana.
Funzadume unayosema hata sisi wanawake tunawalalamikia nyie ..
Mbona sie hatutafuti nyumba ndogo kama nyie?
 
mie nimetoa sababu sasa kama mnanijia juu badala ya kuweka mambo sawa shauri yenu itakula kwenu mie simo
 
Mapenzi ni kushirikiana,kukumbushana na si kutegeana.
Funzadume unayosema hata sisi wanawake tunawalalamikia nyie ..
Mbona sie hatutafuti nyumba ndogo kama nyie?
Veri simpo.

Kwa sababu tunawafikisha ikulu kwa usalama.
 
Shida ni pale wanawake msiporidhika hamsemi mnakaa kimya na kutuwekea visasi!

Nyumba ndogo isiporidhika inakupa live nishahudia rafiki yangu anafuatwa jioni na nyumba ndogo baada ya kuwa ametoa huduma hafifu ............weweeeeee!

Kuweni wa kweli wa nafsi zenu!

nyumba ndogo huwa mnavumilia mkiambiwa huduma mbovu! mama watoto wakiwaaambia utasikia `siku zote nafanya hivi hivi mbona hujalalama`
 
Matumizi mabaya ya nguvu za kiume.
UNAKULA VIAGRA, NGISI NA PWEZA,
JE UNADHANI MKE MMOJA ATUKUTOSHELEZA?
TENA BADO HAPO HAPO ANAKULETEA VISINGIZIO KIBAO, KICHWA, KINAUMWA, MARA NIMECHOKA, MARA SIKO KWENYE MUDI....
BORA KUJICHAPA TU NA NYUMBA NDOGO
kabisa kaka au sometimes unapewa mzigo tu ili yaishe no mahabati ina turn off totally lol... nyumba ndogo hazitaisha kamwe
 
Mwanamke ni mwenza wako na sio chombo chako kaka!! Tendo la ndoa limebarikiwa si la kuchezea, wote wawili mnatakiwa kushiriki kikamilifu kama vile mko mezani kwenye msosi, nyie vipi??
 
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii nimefanya kuuliza watu kama 10 hivi), wakati mtu unataka upate mahaba mazito kufidia mahari.

sasa ukijaribu kutest nje mara moja unakutana na mambo adimu, mtu ata ukimpuliza anatoa mlio wa kimahaba, kitandani ndio usiseme na ukimaliza washukuriwa na kupewa pole

Sio kitu kizuri nyumba ndogo na zishindwe ila wanawake mjitahidi kupepea ndoa zenu kwa kuwa wabunifu otherwise nyumba ndogo hazitaisha
hahahahahahaha, naona unahalalisha ufuksa! Endelea...siku utakayofumaniwa kisha wakuvishe shanga kiunoni na chup* ya huyo dem kichwani utakoma!
 
Hamna lolote wanume pia mnajisahau mkishaingia kwenye ndoa mbona wanawavumilia pia sio swala la mwanamke swala ni kucommunicate nini mnataka kufanyiana ili mjenge penzi lenu maana kila siku lawama kwa mwanamke mbona hata nyie mnabadilika? zamani ulikuwa unapokea simu hello honey siku hz eeeh vp tena ya ukali!! lol
sasa utaita vp hello honey wakati usiku umenyimwa unyumba bila sababu za msingi na ukitaka kumuudhi mwanaume mnyime unyumba hapo ndoa lazima itaingia shubiri ni ugomvi au kuita nyumba ndogo kwa mikono miwili
 
Back
Top Bottom