Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Tunatoa MIKOPO KWA WATUMISHI wa serikali,,#unapata mkopo ndani ya SIKU3, #HAKUNA MAKATO ya bima wala processing fees/form,#KUNA MSAMAHA wa marejesho; Wasiliana na: 0713125050
 
Ni dhahiri kuwa mchakato wa kupata Katiba mpya umekwama.
Ili tuweze kupata Katiba, kama hoja italetwa tena siku zijazo, basi ni vema kuamua kwanza kuhusu mfumo wa Muungano.
Tukumbuke kuwa, kama ilivyo kwa Zanzibar, leo hii nasi tungekuwa na serikali ya Tanganyika basi tusingekubali kuivunja.
Hivyo suala la msingi ni kuamua kati ya serikali 3 au serikali 1.

Mchakato ulitumia Billions of TZs na sasa umepoteza maana.
Kweli kina Sita wameacha legacy mbaya sana
 
Back
Top Bottom