Sababu za ki'intellegensia zikoje Mazishi ya Kanumba?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Ni jambo la ajabu na lakushangaza kwa Jeshi letu la Polisi kwa umati ule kukaa kimya juu/kutokuwa na sababu za kiintelejensia ambazo tumezoea kuziona pindi kuwapo na mikusanyiko ya hapa na pale hususani ya kisiasa. Swali: Je ni kwanini jeshi la polisi limekaa kimya kuliko kawaida yake? Na ni kweli huwa hizi sababu zipo amani magumashi?!
 
Hatujakuelewa.kwani ulitaka iwe vp?

kama kweli polisi huwa wanazuia maandamano au mikusanyiko ya wana chadema kwa sababu ya al shabab?
ilikuwaje wakaruhusu mazishi ya kanumba, na mechi za uwanja wa taifa, na matamasha ya miziki, na arusi, na ngoma na .....?........ nimechoka. Ngoja nikapate kisusio kidogo kisha nirudi
 
Hapo ndipo tunazidi kupata picha yakwamba kodi zetu,tuzotozwa mpaka mimba zinatumika kulipa police wa si si em,na c police wa taifa.ila nguvu ya uma hairubuniwi kizamani kama walivyozoea.time will tell.
 
Back
Top Bottom