Sababu za CCM kukataa midahalo hizi hapa

Mkuu Invisible,
ongezea kwenye JF rules kuwa hata SWALI na MSHANGAO ni breaking news
 
Kuna watu waadilifu sana CCM na ninawakubali, ila hii timu iliyopo kwa manufaa ya watanzania Kikwete na watu wake waondoke tujenge nchi yetu. Kikwete is a true failure, hebu angalia akina Makamba, Msekwa, Rostam, Kinana, Lowassa....usanii wanaoufanya kila kukicha? Ahadi na ujinga wa Bajaj we need a change kwa manufaa ya watanzania na kizazi kijacho. Utoto na mazingaombwe ya mkuu mwenye Kifafa afikie wakati akapumzike.

Mdahalo ungemsaidia kujenga hoja kama anategemea kuchakachua kura afanye atakalo.

Sikiliza hiki kibwagizo




Na hii je?

 
Last edited by a moderator:
wanapenda kampeni za majukwaani kuliko mdahalo wanamaana gani?
wengine mnaongea kama hamna meno wewe ungeambiwa uongee ungesema nini? Ungetoa sababu gani kwenye mdahalo na maswali ambayo ungeulizwa bora kukimbia tuuu!
 
Sababu ni hizi mkuu;

  1. Ukilaza wao juu ya sera na maswala yahusuyo wananchi moja kwa moja.
  2. Wanajihami kwa kuwa wanajua ni wachafu sana, na hivyo ni nafasi ya kuweza kuumbuka zaidi.
  3. Dharau kwa wananchi wao kwa kuwa walishawekeza mitaji miwili mikubwa; (UJINGA NA UMASIKINI) kwa wananchi. Hivyo, wanadai hakuna mtanzania mwenye kuweza kuuliza swali la msingi kwa nchi. Nadhani ukirejea mjadala bungeni kuhusu maswali ya papo kwa hapo na waziri mkuu kipindi cha Lowasa, CCM waloonesha dhahiri kuwa hawapo tayari na kipindi hicho muhimu, na wakataka kupendekeza kuwekeana maswali ya kuuliza na kutafutwa watu wa kuuliza na sio kila mtu...! Kama walivyotaka sasa hivi kwenye michakato ya 2010...!
NOTE: Kama mdahalo ulivyowezekana bila CCM, hata Tanzania bila CCM inawezekana, na kuendelea kukaa na CCM ni maafa makubwa kwa nchi na wanyonge wake...!
 
tuna maswali mengi ya kuwauliza,
sasa tutawaulizia wapi na hawataki kujihusisha na midahalo. basi watuambie tutawakuta wapi ili tuwaulize na tuwaambie yanayotusibu maana wao ndio wahusika waliosababisha kizungumkuti hicho.
 
Makamba alitaka maswali kwanza. Mnataka kuwaumbua nini? Kuna prof na Dr. wa kweli, umpambanishe na HB wao. Lkn hili la MAkamba kutaka apewe maswali kwanza linaashilia mambo mengi.
1 Ndio maana watoto wangi wa vigogo wanaiba vyeti (BOT scandal), hawawezi kufanya mtihani.
2 Watoto wa mijini wanaamini bila paper mtihani haufanyiki.
 
Back
Top Bottom