Sababu ya watu kudisco

Wa3

Member
Oct 17, 2012
10
0
Wakubwa eti program inayoongoza kwa watu kudisco ni sababu ya ugumu au inakuwa na vilaza wengi
 
Hakuna programu ngumu.Ni kwamba wanafunzi tunakuwa wazembe katika kufuatilia ya msingi na hat chuo chenyewe hakitoi support ya kutosha.kwa mfani UDOM pale kuna baadhi ya kozi zinaandikiwa kuwapo na Seminar ila hata siku moja hakuna seminar inayofanywa matokeo yake wanasema mwalimu hayupo.Sasa inakubidi ukomae kibinafsi kama mwanfunzi wa advance...wakati elimu ya chuo inpaswa kuwa shirikishi ili kuweza kupanua uelewa wa mwanafunzi,

"THE DIFFERENCE BETWEEN POSSIBILITY AND IMPOSSIBILITY LIES ON ONES DETERMINATION"
 
jawabu makini
 
usomaji kozi unafanana isipokuwa jitihada zetu ndio chachu ya mafanikio ndugu,hata koz rahisi watu wanadisco
 
wanafunzi wengi hufikiri kwamba chuo ni rahisi kusoma hujikuta wanalala zaidi ya kusoma na hata wengine kutohudhuria vipindi ila hakuna kitu simple chuo chochote:msela:!!!!!!!!!!!!!
 
The only easiest thing at university is the most flexibility of your mindset in university activities
Therefore, Nothing is Simple!!!!!!
 
Mi nafikiri pia inategemea mwanafunzi mwenyewe,kutokuwepo kwa bif kat ya prof na darasa husika,kuwepo kwa huduma bora za kimasomo kama library(vitabu) na lab hiv nafikir ni baadh ya vitu vinavyo determine ku disco au supp kwa watu weng
 
make sure you do what you got to do,thats your job and no negative output will appear

kuna msemo mmoja vyuo vikuu kwamba 'msuli sisimizi...tokeo tembo'
belive me hakuna kitu kama icho when it coms to real life

fact:workdone=output
 
Back
Top Bottom