Sababu ya laana ya wanasiasa wetu ni hii

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Ahh well nimeshindwa kupost picha lakini theory yangu ni liloe Carpet lililonunuliwa SPAIN lililopo ndani ya BUnge lina BENDERA YA TAIFA ambayo kila kukicha wanaikanyaga

the same applies na lile la function ikulu na lile la kule VIP uwanja wandege

thats my theory..wanakanyaga Bendera ndio maana wamelaaniwa
 
kweli kuna tatizo hapa, kweli sikuwahi kuwaza juu ya Tatizo ama mtazamo huo, leo umefikiri zaidi ya upeo wangu.
haipaswi kukanyaga Bendera yetu.
 
wadadisi na wachunguzi pamoja na wachanganuaji wa mambo tunaomba vipaji vyenu vitumike hapa kutu brain wash
 
may be.may be not.......
shakespeare anasema good or bad it depends with your thought,
 
i dont see any logic. labda kama mnaabudu samnamu. bendera ni kitambaa tu. definition zingine zote ni za kisheria na taratibu tu zinazoweza kubadilika wakati wowote. asa long as ni kitambaa, hakuna anayeweza kupata laana hata akichambia kila siku, sembuse kukanyaga????????????

you need to change your way of thinking........................
 
Kuna toilet paper zenye picha za joji kichaka na obama watu wanazitumia bila wasi seuze bendera ya nchi kukanyagwa? Utukufu wao utatambulikaje. Airforce one hadi vyoo vina nembo ya taifa jeuri nini bendera ya taifa.mashuka,blanket za white house zina nembo na mamboz yanaendelea kama kawa.LAANA NI WIZI WAO WA MAEPA MADINI wakiwaacha watz wenzao wakifa kwa malaria wao visenti vyao vya wizi wakivusunda ulaya.POOOLE KWELI MKUU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom