Sababu tano za wanaume wa kabila la kichaga

mbona mnawafuata sana hawa wajamaa! Ila huwa wanapenda biashara za bar, hadiwea, maduka ya bidhaa mchanganyiko kuanzia bia,dagaa, vipodoz, dawa barid, misumar, petrol nk. Hiyo biashara huwez jua na famas, hadwea, bar, mgahawa, gereji, gest,hotek, duka la nguo, saloon, genge nk yy bora aone watu wananunua.
 
6.wanapenda kupiga wanawake
7.wanapenda kusikiliza ushauri wa marafiki kuliko wife
8.wanapenda kujionesha kwa marafiki zao kama wako na pesa kuliko kufanya mambo hayo kwa yy binafsi so mfano kaenda bar ni atawapiga round mpaka
9.wanapenda kulazimisha mapenz
10.wanapenda sana kutoka na marafiki zao na sio my wife zao
11.wanapenda sana kuwafungia wake zao ndani i mean hataki utoke yy ataleta kila kitu ndani mradi ww hata sokoni nooo
12.hawasikilizi ushauri wa mke
13.kila kitu utapata ila sio penz la uhakika
14 wanapenda kujizidhisha wao na sio mwenz wao
15.hatoi hela mkononi hata cku moja yani hahongi hela bali atakuhonga nyumba,gari.duka ila sahau hela ya mkononi
 
kukosa akili sio lazima uwe unapata sifuri darasani pekee. Hata jinsi unavyoongelea mambo hadharani ni ishara tosha ya mtu kukosa akili timamu
 
Back
Top Bottom