Ndg zng dunia ipo ukingoni,mkoani lindi kuna mama amchoma moto mtoto wake wa kumzaa kwa kumviringa nyasi kavu mikono yote miwili na kumuwasha, akamfungia ndani bila kumpeleka hospitali kwa muda wa siku nne majirani watoa siri kwa vyombo vya usalama,mtoto wa kiume miaka 5 kwa kosa la kuchkua boga lote lilopikwa na kula bila ruhusa ya mama yake,mama ahojiwa na kusema kua hata yy haamini km ndio alomchoma na pia anawasa wakina mama wenzake asifanye alofanya yy,mbona manyanyaso juu ya watoto kwa mama zao wa zazi yanazidi siku hadi ck wana jf au ckuizi wakizaa hawapati uchungu?na je adhabu alopewa ni stahiki kwa mtoto?na je hali ngumu ya maisha inachangia?