Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,575
- 552
Mwanaume kuoa muhimu na mwanamke kuolewa muhimu. Ndio maana Mungu alivyomuumba Adamu akaona si vyema akae peke yake, akampa msaidizi. Ujue watu siku hizi hawaoni umuhimu wa kuoana, lkn ndoa ni muhimu sana kwa binadamu. Mtu unaweza kusema utakuwa single lakini kuna kipindi kikifika mwenyewe utaona umuhimu wa kuishi wawili, yaani mke na mume.