Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
ndugu yangu japo kuwa maskendo yameendelea kuwepo pamoja na baba maskendo kutimuliwa, hakika nakwambia kuwa kama ccm inge msimamisha kugombea nafasi ya urais angeshindaaaaa tena kwa kishindo na nguvu kidogo pamoja na maufisadi yake. ccm ndo inayo shinda haijalishi itamsimamisha nani, yeyote tatakaye simama kupitia ccm "ata shindaaa"
Lakini CCM haikumsimamisha sasa ni kwa nini? Ni kwa sababu sifa zake hazikutosha, CCM ni taasisi na ina jukumu la kuhakikisha TZ iko mikononi mwa Kiongozi muadilifu na mkweli na Lowasa CV ina madoa sana na ndiyo maana walimuondoa!