Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

Lowasa angekuwa msafi asingeachia ngazi ya uwaziri mkuu,alikubali kujiuzulu maana anajua madudu aliyofanya mwenyewe
 
Lowasa angekuwa msafi asingeachia ngazi ya uwaziri mkuu,alikubali kujiuzulu maana anajua madudu aliyofanya mwenyewe

Hata zamani nilikuwa na mtazamo huo.lakini utakunisaidia kwa Rais wetu mstaafu ALLI HASSAN MWINYI alijiuzuru wakati ni waziri wa mambo ya ndani wa jamuhuri ya muungano ya tanzania alikuwa amefanya madudu gani?na madudu yake yalikuwaje yakamfanya awe rais wetu?ebu jaribu kutaja uwezo wake na udhaifu wake Lowasa ambao utatushawishi tuwe upande mmoja wa kukubaliana.na uwe na ushahidi wa kutosha.ok unaenda vizuri kuonyesha taarifa za vyanzo ambavyo vimetufikisha hapa.MIMI LOWASA NIMEMKUBALI.endelea unakwenda vizuri.ahsante
 
Wanaompinga Lowasa hawana hoja za msingi zaidi ya matusi. Mi nishasema mara kibao watuletee ushahidi wa tuhuma zao. Hakuna wanachofanya. Pigeni kelele, lakini matokeo ya ukweli yanakuja.

Bado unayo nafasi ya kutoa maoni yako yatakayo kuwa na taswira ya hali halisi ya vile unavyo jua juu ya udhaifu na uwezo wa LOWASA kwa kuzingatia vigezo vilivyopo ktk hoja ya msingi unaweza kuendelea ,jiepushe na kulalamikia mtazamo wa mwingine mpe tiba atakuelewa usimpe nafasi akakutafsi ni mshindani wake mpe muda.uwe karibu yako kihoja atakuelewa kwa maneno laini na ya kati kwa kati kutokana na uwezo wa uelewa wake , unaweza kuendelea kwa uhuru wa fikra yako.ahsante
 
Ah utapeli wake mpaka umeujua wewe sawa.cha muhimu tiba ya fikra nimeiweka mbele ichangiwe kwa hoja za mantiki matusi,na tuhuma si suruhisho ya kutaka wenye kutumia akili zao vyema wakubali tuhuma na matusi yenu kuwa ni ustaarabu wa kujenga hoja makini, mkiondoeni jazba mtapata faida ya utamu wa radha ya ubinaadamu ambayo naimani kwa hali mliyo nayo ya kifikra hamjawahi kupata utamu wa radha ya ubinaadamu.ok safari hii hata nyie mnatakiwa tuende wote ukweli hauwezi kuwamaliza,mkimalizika ah kanuni itakuwa nini!! ?kuvumilia mkaona uchangiaji wa hoja za mantiki zitakazo tolewa na jamii yenye sifa ya jf kuna kitu mtaongeza na kuendea tiba iliyo kusudiwa ktk hoja hii.kutumwa,elimu si kusudio letu kujadili ni kutoka nje ya mada kama mnajua madhara yake.tuendelee mimi LOWASA NIMEMKUBALI Jengo hoja ktk udhaifu wake na uwezo alionao je anatufaa kuwa rais wetu 2015.ahsante

KISIASA Lowasa amevaa Sanda na ninyi Wafagiliaji wake mnamdemeza Kaburini.
 
KISIASA Lowasa amevaa Sanda na ninyi Wafagiliaji wake mnamdemeza Kaburini.

KISIASA !? Hajavaa sanda labda urudi ktk hoja ya msingi tuwe wote pamoja.wewe kujua tu amevaa sanda kisiasi ni ushahidi tosha yuko juu kwa mtazamo wako labda uniambie hujui tunamuongelea lowasa gani?ah kama umuelewe ni lowasa gani tunakuomba uvumilie kidogo hadi umjue.kama utafanikiwa kumuelewa basi karibu uchangie hoja.MIMI LOWASA NIMEMKUBALI KUWA RAIS WETU 2015 JE UNAJUA UDHAIFU WAKE na UWEZO WEKE UTWAMBIE TUWE PAMOJA.AHSANTE
 
Kama lowasa kiongoz jasiri na n mwadirifu angetwambia mkataba fek wa richmond aliuingia nan?kama co yeye had leo umeme shda kwa ajili yake.kiongoz gan huyu ww?lowasa na ccm n wez 2.ccm hakuna msafi.we kama ume2mwa mwambie watz co wajinga
 
wolves.jpg
 
Unadhani waliomnyima nishani walikosea?? hapana...wanamjua kwamba hafai hata kwa bure. Hata huyo aliyesema kwamba "hatukujuana barabarani" alimtosa pia kwa kujua tabia yake ilivyo chafu. Huyo ni wa kupumzika tu sasa maana hata afya yenyewe mgogoro
 
tunakubali kuwa mpo mnaotumwa kumtetea hapa,nasi tungependa mtupe mtu mwingine muadilifu na si mwizi wa kujilimbikizia mali,tupeni jina jibgine la kujadili na si huyu mnayemtetea,tunajua mkakati wake ni mkubwa na mnaolipwa naye si kidogo,kuanzia tbc mpaka kwenye vijiwe vya kahawa.

Jamani hatumtaki katukinai.ni mwizi,mhujumu uchumi na hilo unalijua,unataka tu kubeep watu uwapotezee muda wa kurudia mengi yaliyokwisha semwa.
 
Naomba ww muanzisha mada elezea kwa kina jinsi unavyotaka lowasa atoke kwenye kashfa ya richmond, manake media zimeelezea mengi ya kumchafua na kumsafisha, pia soma taarifa ya mwakyembe utuwekee hapa part yake kwenye hio kashfa, weka pia hotuba yake kwny mkutano waccm juzi, la sivyo tofauti yako na washabiki wengoine ni direction tu.
Mie umbea naoujua kwa lowasa ni pamoja kutaka njia tatu zitumike wakati wa foleni, maji kutoka ziwa victoria, umalaya wake, utajiri wake wa kurithi na kadhalika, kudhubutu kujiuzulu.
 
KISIASA !? Hajavaa sanda labda urudi ktk hoja ya msingi tuwe wote pamoja.wewe kujua tu amevaa sanda kisiasi ni ushahidi tosha yuko juu kwa mtazamo wako labda uniambie hujui tunamuongelea lowasa gani?ah kama umuelewe ni lowasa gani tunakuomba uvumilie kidogo hadi umjue.kama utafanikiwa kumuelewa basi karibu uchangie hoja.MIMI LOWASA NIMEMKUBALI KUWA RAIS WETU 2015 JE UNAJUA UDHAIFU WAKE na UWEZO WEKE UTWAMBIE TUWE PAMOJA.AHSANTE
Hebu mjibu huyo LUTHER 3.
 
Wanaompinga Lowasa hawana hoja za msingi zaidi ya matusi. Mi nishasema mara kibao watuletee ushahidi wa tuhuma zao. Hakuna wanachofanya. Pigeni kelele, lakini matokeo ya ukweli yanakuja.
Kama ni msafi atueleze mkataba wa Richmond kauingia nani,na pia atueleze mali alizo jilimbikizia amezipataje,eg zile Ranch,Maghorofa yaliyotapakaa kila kona ya nchi na nje ya nchi.
 
Jamani Mnyonge mnyongeni, bali haki yake mpeni. ANAWEZA.
Pili Mchawi mpe mtoto akulelee, Kamwe hawezi kumloga.
 
Lowasa angekuwa msafi asingeachia ngazi ya uwaziri mkuu,alikubali kujiuzulu maana anajua madudu aliyofanya mwenyewe

Hivi Lowassa Anakulipa shs.Ngapi paka unajitoa mhanga kumpamba kwenye JF! lakini msimchune sana hela mzee wa watu asije akafulia
 
hivi jamani najiuliza katika kashfa ile,mbona walijiuzulu karamagi,msabaha na EL, lakini hawa wawili hawasikiki wala kukanusha,ila EL yupo ngagari kujichanganya kila mahali na ana confidence ya kutosha,au ndio maandalizi yenyewe ya 2015.au ni kujiamini kuwa hakutenda kosa bali ailijiuzulu kisiasa.
 
Back
Top Bottom