pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Muanzisha maada hajakosea, ila wachangiaji ndiyo mnajichanganya! Kama kuna mtu kasoma Mzumbe ndiye shahidi ktk yafuatayo;
1. Kupata ajira faster,
2. Kutoka umepikwa na kupikika katika fani,
Sikatai kuwa kuna udhaifu, ila hayo ni vitu binafsi (kwa wanafunzi na kwa walimu). Ninao ushahidi wa best student wote wa Mzumbe wana ajira zenye mishahara zaidi ya Mil 1, na ni very competitive. Kuhusu kuhonga Lecturer, hilo sikatai ni kukosa maadili kwa mhusika na pia ni tatizo la mwanafunzi husika. Natoa mfano halisi=Kuna mwanafunzi alikamatwa anades hapo Mzumbe kipindi cha University examination, akafukuzwa na kulia mbele za wanafunzi, analalamika eti kaonewa, lakini uongozi haukuangalia alifukuzwa (na kama angesamehewa, basi wadau mgesema Mzumbe hawapo siriasi). Tatizo kubwa lipo Dar kampasi ambako wanaosoma wengi ni wafanyakazi maofisini na wanavimishahara na bado wanaendekeza pombe na mademu kwa hiyo muda wa shule hawana, inapotokea umekataliwa mfano thesisi yako basi mwanafunzi hana muda wa kufikiria kuwa anatakiwa asome kwamba hajui, ila nasema eti anaonewa na anaangalia mbinu ya kumlainisha lecturer (Mapenzi, fedha n.k) sasa hili si kuilamu Mzumbe, pia wanafunzi walaumiwe.