Nimesikia watu kadhaa wakiita MBA ya Mzumbe University Maharage ya Mbeya wana JF hii maana yake ni nini?
Mzumbe hakuna walimu wenye sifa (PhD) holders! chuo kizima PhD holders ni 23 tu sasa hicho chuo (University) au College tu! Unapozungumza vitu uwe na facts sio unakurupuka tu! kenge wewe! Pia utambue kuwa mzumbe walimu wao wengi ni TA na masters holder! Sasa uliona wapi shule ya kilaza kumfundisha kilaza mwenzake? then mtu hata akiwa na GPA ya 5.0 kutoka kwa kilaza mwenzake utasema huyo ana sifa? wewe wa wapi bana? au ndo wale wale bora liende? tuliza kitenesi hicho bana usiwe mkurupukaji tu kuongea vitu usivyovijua! a.k.a strong convicing points!
bwana,tanzania vyuo ni viwili 2,udsm nd sua labda 2naweza kuviweka ardhi na muhimbili.naona kuna watu wanaiponda mzumbe na watu wengine wanaiponda udsm, sasa sielewi ugomvi baina ya vyuo au ndo facts?ila mimi kama outsider ambaye sijasoma vyuo vyote hivyo nina wasiwasi sana na mzumbe , kwani ni kweli walimu wenye Ph.D pale ni wachache na wengine wenye hizo phd wamezipata kwa kuungaunga na hazitambuliwi nchini, hivyo inatia shaka juu ya uwezo wao wa kudeliver material.jambo la pili nimeona wanafunzi wengi waqnaotoka mzumbe wana GPA kali sana za uppersecond na first class, sasa hapa nashindwa kuelewa ni kweli hawa wanafunzi ni vipanga au kuna laxity katika mitihani. hili linaongezwa nguvu na jamaa zangu ambao wanasoma masters pale ambao wan GPA zinazoapproach first class kwenye masters ilhali najua ni wa kawaida sana tu, may be nina wivu na mafanikio yao lakini kwangu haiingii akilini kila nayepita mzumbe iwe undergraduate au masters still anarudi na GPA za kufa mtu, kwangu mzumbe nakiona kama baadhi tu ya vyo binafsi vya tanzania vyenye wingi wa D- na E- students na visivyo na walimu bora lakini cha ajabu wanafunzi hawa hutoka na first class, what a joke!!!!
naomba u2pe baadh ya hzo sifa.Ni wazi kuwa mzumbe kina sifa nzuri ktk nyanja nyingi na hasa ktk uhasibu. Kama kunamatatizo yatakuwa ni ya muhitimu husika na sio chuo.
bwana,tanzania vyuo ni viwili 2,udsm nd sua labda 2naweza kuviweka ardhi na muhimbili.
aisee sherrif IFM mpaka uje uvae joho ni kwamba umesapua mpaka unatamni dunia itoboke..IFM, Mzumbe?
aisee sherrif IFM mpaka uje uvae joho ni kwamba umesapua mpaka unatamni dunia itoboke..
............ yaweza kua suruhu mbadala maana naona watu washaanza kutoa maneno makali makali, na je hii inatokana na madudu yanayofanywa na wahitimu wa sehemu husika au ni chuki binafsi!?????????Mabosi jf mtuanzishie jukwaa la ndondi humu ndani!!
usiogope, kila chuo kinapondwa. Akitokea mtu akasema MBA ya UDSM ni maharage ya Mpwapwa wapo watu watakaosema imezalisha mafisadi waliotufikisha tulipo. Akili kumkichwa.Unanitisha....nataka nikafanye HR mwaka huu wa masomo.......
Sio kweli!! Mzumbe 'is tha one of tha most respected university in tz.
tofauti ipo kubwa sana mkuu,fanya karesearch kdogo 2,hasa kwa graduates wanaohitimu,ndo utajua!Elimu inayotolewa ktk vyuo vikuu vilivyopo bongo vyoooote ni sawa tu. Hakuna tofauti
tofauti ipo kubwa sana mkuu,fanya karesearch kdogo 2,hasa kwa graduates wanaohitimu,ndo utajua!
hata research zlizofanywa na vyuo znazbeba,sa chuo ka mzumbe au tumaini wamefanya nin cha maana mkuu.?sioni tofauti yoyote walimu ni hao hao wanafundisha huku full time na kule party time. Mazingira ya kielimu ni hayo hayo. So sioni tofauti yoyote unless mje na data kama wafanyavyo vyuo vya US kuhusu mchanganuo wa ubora ktk vitu vingi. All in all universities za bongo kiwango cha elimu ni sawa tu