Sababu 8 kwa nini wasichana wengi wa kiafrika wanabaki masigle mpaka siku yao ya kuishi kwisha

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
hapa duniani. sababu ni hizo chini kama zitakuwa zipo zilizo saulika ongezea kwa mchango wako. dhana zima ya MMU ni kuakikisha kila mwana MMU anafaidika kwa kujifunza, kujikosoa na kujisahihisha.

1. Wanawake wengi wa kiafrika wanaishia kuwa masingo kwa sababu ya media exposure- mda mwingi mwanamke anaweka macho yake kwenye simu yake toka asubuhi mpaka usiku, na kuweka akili yake kuangalia TV to watch another celebrity entertainment channel
Niambie kitu gani kitamfanya mwanamke huyu asiwe na mind ya kuishi fake celebrity life

2. Wanawake wengi awapendi kupika chakula kwa sababu totally brainwashed by movies showcasing mwanaume playing the role of women katika familia. Pia modern media ambazo zina promote gender equality in a destructives way that's aimed to destroying the unique African familiy ambazo ziliwekwa na wazee wetu toka enzi na enzi na kufanya ndoa za kuigizwa kuwa ni ndoa za westerns. Sasa unategemea mwanaume wa kiafrika atakuwa na moyo wa kuoa fika akijua ananunua headache na matatuizo kwake mwenyewe

3. to much makeup zimewatoa wanaume wa kiafrika katika mawazo kabisa. Kama utakuwa umechunguza, utagundua wanaume wengi awapendi excessive makeup, na wengi awapendi kabisa. Kwa mfano siku hizi utakuta mwanamke wa kiafika amejichubua amekuwa kama an Egyptian mummy. A slight makeup is okay, lakini mwanamke kama ujaolewa jaribu muonekano wako uwe simple na natural itawavutia wanaume wengi wa kiafrika.

4. Mwanamke wa kiafika acha kutoa namba yako kwa every Joystick & Harry! Amna mwanaume anayependa kumuoa mwanamke ambaye kila wakati anaongea na kujichekesha na simu sisizo na mpango. Unaweza kuwa wewe siyo msichana Malaya, lakini mwanaume an ku judge nawe ni moja wao itamfanya aweke mabawa


5. Mwanamke aleti any value into the life of men – Siyo kwa sababu rafiki yako wa karibu ameolewa na bila contributing anything to the man finally akaolewa, usije fikiria itafanya kazi kwako pia. Fikiria, work towards equipping wewe mwenyewe ili kujiongezea thamani also add value to his life kumshawishi that you can be worth commiting to. Ku add value to his life si labda kumpa pesa or material gifts, la hasha bali ni kumpa good counsels, kuwa rafiki yake wa karibu kumfanya afanikiwe katika matarajio yake , mpe moyo, msaada wa maombi na by not just being a liability that only bring requests and problems to be solved

6. Marafiki zako to run your life – Unategemea nini kumpata mume wakati unaruhusu your clique of friends to be dictating which man you meet is worthy of your love and which is not? Pindi ukiamka na kutambua ukweli hao marafiki zako pamoja na kuwa ni macherish kwako, awapendi kuona wewe unaolewa kabla ya wao au unaolewa na the best man.

7. Unatoa kila kitu njee kipindi ukiwa kwenye mahusiano – You need to reserve some things kwa mume wako mtarajiwa, especially mwili wako, respect it and preserve it at all cost. Utakuta msichana yupo kwenye mahusuano anatoa huduma kwa boyfriend wake as if like mke wake. Sasa kama umesha kuwa mke wake kabla ya kukuoa je mwanaume atashidwa kukuacha uwe girlfriend wake kwa maisha yake yote?

8. Unajiweka wewe mwenyewe vibaya- Katika attempt yako ya kuonekana sexy, adorable ili uonekane kwa vijana, kiukweli badala ya kuonekana modest unaoneka more whorish; kutokuwa na mvuto badala ya kuwa na mvuto na more disgusting than adorable. Aina ya nguo unazovaa, utakuta mwanamke amevaa kinguo cha ajabu ajabu is like mdada wa 25age-30age anavaa sketi ya msichana wa form one. Je kuna mwanaume muoaji wa kiukweli kweli atamtaka. Only randy men will come to you for urgent satistaction of their immediate sex urge, so don't be fooled by media hyping of certain kinds of dressing.

Mwana JF, kama utakuwa umesoma vizuri utagundua level ya wasichana wa Africa walio kwenye level ipi wanazungumziwa. Thankx Mwali for your advice


AMINIA!!
 
Mkuu umesomeka, sijui kama hawa wasichana wa kiafika watayaelewa haya.
 
7. Unatoa kila kitu njee kipindi ukiwa kwenye mahusiano – You need to reserve some things kwa mume wako mtarajiwa, especially mwili wako, respect it and preserve it at all cost. Utakuta mwanake yupo kwenye mahusuano anatoa huduma kwa boyfriend wake as if like mke wake. Sasa kama umesha kuwa mke wake kabla ya kukuoa je mwanaume atashidwa kukuacha uwe girlfriend wake kwa maisha yake yote?



kwa sasa namba 7 ni ngumu kuzuia kaka apo tunajdanganya ni 25 wanaweza
 
Yaap usemalo ni kweli. Wasichana wa siku hizi eti mtu anataka aolewe afu anakumbia kuwa utakuwa unapika, mwaenda club, kunywa pombe yaani ikifikia hapo tu naanza jikata mapemaaaa
 
Darasa ndio hili MMU, walimu tunatoa mafunzo free of charge.
Ujue mtu ambaye ni mwanachama wa jukwaa hili anafaidika sana kwenye mahusiano yake. Sii ya mpenzi tu bali kuishi na jamii kiujumla.

asante kwa darasa,

out of topic Elungata nakusalimia maana nimekuoma humu ndani
 
Last edited by a moderator:
Kuna tafiti yoyote ulifanya kuthibitisha kua wanawake wa kiafrika tuna lower chances za kuolewa kuliko wengine?
Mbona mi naona (just quick observation) kama Africa wanawake wanaolewa sana kuliko rafiki zetu wadhungu?
Na ni wanawake gani hasa wa Africa unao waongelea? Maana more than 75% of african women hawana hata sim!
Tunaanalia TV wapi hata umeme haujaletwa vijijini kwetu? Na what exactly do you mean by "brings no added value?"
Unataka kusema contribution ya mwanamke wa kiafrica in her household ni kama nil? Hapa nifafanulie kwanza please
 
Kuna tafiti yoyote ulifanya kuthibitisha kua wanawake wa kiafrika tuna lower chances za kuolewa kuliko wengine?
Mbona mi naona (just quick observation) kama Africa wanawake wanaolewa sana kuliko rafiki zetu wadhungu?
Na ni wanawake gani hasa wa Africa unao waongelea? Maana more than 75% of african women hawana hata sim!
Tunaanalia TV wapi hata umeme haujaletwa vijijini kwetu? Na what exactly do you mean by "brings no added value?"
Unataka kusema contribution ya mwanamke wa kiafrica in her household ni kama nil? Hapa nifafanulie kwanza please
Nakujibu jibu moja lenye kubeba maswali yako yote, kama utakuwa umenisoma vizuri nakujibu huku nikifahamu fika kuwa mtu mwenye upeo kama wako pasi na shaka utatambua hawa ni wasichana wa level gani ninao wazungumzia.
Walio kwenye hiyo level na ni wafrika tofauti na walio kwenye level hiyo ambao wa magharibi.
Soma vizuri utajipa majibu mwenyewe.

AMINIA!
 
Nakujibu jibu moja lenye kubeba maswali yako yote, kama utakuwa umenisoma vizuri nakujibu huku nikifahamu fika kuwa mtu mwenye upeo kama wako pasi na shaka utatambua hawa ni wasichana wa level gani ninao wazungumzia.
Walio kwenye hiyo level na ni wafrika tofauti na walio kwenye level hiyo ambao wa magharibi.
Soma vizuri utajipa majibu mwenyewe.

AMINIA!
Kama nimekupata vizuri hawa unao wazungumzia hapa ni BAADHI ya wanawake wa kiafrika wenye kua in a certain level, sio? Basi nakuomba, huku nikifahamu fika kuwa mtu mwenye uelewa kama wako pasi na shaka utatimiza, ongeza hii detail kwenye post yako ya kwanza ili wachangiaji waelewe ni watu gani wanazungumziwa, na wasidhani ni wanawake wote Africa tuko hivo.
 
Nikizingatia pendekezo la Mwali naomba kuchangia;
Mimi nawalenga hasa wengi walioolewa na labda wana watoto ama hawana.....Inaweza kuwa imesababishwa na sifa walizokuwa wanapewa na kufuatwafuatwa walipokuwa single? kwa sababu idea ya kuwa wewe sasa ni wa mwanamume mmoja ni too bad for them wanaanza flirtation.

  • Yani wanawake hao siku hizi ndo wanaongoza kuvaa nguo fupi
  • Too much make up
  • Flirtation ndo usiseme!!(they may not be after infidelity but wanataka tu kuonekana bado wanalipa/wazuri) so insecure
 
Last edited by a moderator:
Kama nimekupata vizuri hawa unao wazungumzia hapa ni BAADHI ya wanawake wa kiafrika wenye kua in a certain level, sio? Basi nakuomba, huku nikifahamu fika kuwa mtu mwenye uelewa kama wako pasi na shaka utatimiza, ongeza hii detail kwenye post yako ya kwanza ili wachangiaji waelewe ni watu gani wanazungumziwa, na wasidhani ni wanawake wote Africa tuko hivo.

Nimekwisha fanya for your advice, thankx
 
Back
Top Bottom