Sababu 6 kwanini bia ni muhimu kuliko mwanamke

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
1.Ukienda bar una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza;

2.Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii;

3.Unapoagiza bia una uhakika wewe ndiyo wa kwanza kuifungua(huwa bikira);

4.Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi hamu haishi;

5.Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu;

6.Bia ni siku zote za mwezi huwa haiendi mwezini(haina siku zake).

Binafsi siwezi kuipitisha hata mnishikie bastola.

Tafakari,chukua hatua.

Happy easter to all JF members
 
Mkuu hii imetulia vilevile mkuu ongezea hizi point
7. Bia haina majungu
8. Bia haina ubanguzi wa rangi wala kipato uwe na milioni au buku 2 kama bia inauzwa Tshs. 1500 basi wote mtalipe pei moja.
9. Bia inamfanya mtu awe mkweli zaidi.(mtu akishapasha bia kadhaa mara nyingi hutumia subconscious mind which never mistakes)

Wish you a wonderful Easter Holiday guys.
 
  • Thanks
Reactions: y-n

Oyaaa

10. Bia hunifanya niongee Kifaransa changu vizuri!
 
Naona vijana mnatuletea burudani za enzi hizo, loh! Ongeza na Hui
1. Bia haipigi mizinga
 
Back
Top Bottom