Sababu 51 za Kikwete kutogombea 2010

Nilisema mwanzoni kuwa mtu anaweza kuwa safi kwa sababu hajawahi kuwa karibu na uchafu; na mtu mwingine anaweza kuwa safi kwa sababu aliuondoa uchafu..

Kupata mtu safi Tanzania impossible (sophia simba ccm waziri wa maadili)

Kuondoa uchafu kwa kutumia demokrasi (impossible maana wenye nazo watanunua wenye njaa kwenye system)

Options: Overhaul the system tena kwa kushtukiza wala usitoe taarifa maana watajiandaa..na kuwa sehemu ya mkakati wenu.
 
Hivi mnataka nini zaidi ya hapo jamani? Au mnataka JamiiForum ifungiwe kwa kusema Rais wa TZ anauza sura na kucheka cheka hovyo ndio tuamini kwamba JK sio dhaifu? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani!

Give me a break!

Nimekupata vizuri kweli; yaani haki yako wewe ya kuzungumza, kufikiria na kutoa maoni inatokana na huruma au hisani ya Kikwete hivyo tumchague kwa sababu tusipomchagua haki zetu zitakuwa matatani? give me a break.
 
Hivi zile ajira millioni moja alitimiza? Wapi alikowaajiri? Ndio kwanza anawapa kipaumbele wageni wakati kazi wanazofanya zinaweza kufanywa na wazawa.
 
Hivi zile ajira millioni moja alitimiza? Wapi alikowaajiri? Ndio kwanza anawapa kipaumbele wageni wakati kazi wanazofanya zinaweza kufanywa na wazawa.

Sio rahisi kutimiza ahadi ya ajira 1million bila kuanzisha vyanzo vipya vya waajiri/ujasiriamali n.k. Katika hali ya uchumi tuliyonayo, si jambo rahisi kuanzisha ajira mpya. Inahitajika mikakati na nia thabiti kuweza kufanikisha lengo hili.

Ile ilikuwa porojo kama ambavyo zitakuwepo nyingine baadae mwaka huu.
 
Orodhesha watu 51 wanaofaa kuchaguliwa if JK steps down...!!!

Komredi sometimes unaweza kwa haraka haraka tu ukajua kama mtu anafaa au afai, kabla hujamwangalia mtu.....angalia wanaomzunguka...his company...friends, advisers...Someone once said '' presidents have got no new friends"......uuups!!!!
 
Last but not sure.. Anapenda kutumia vilivyokwisha jengwa na wenzake nchi nyingine wakati kwake hataki kujenga,, rejea bembea la Jamaica.
 
Ahsante sana Mzee Mwanakijiji. Hizi ni sababu nzito sana! Inabidi JK apime mwenyewe. Sidhani kama anastahili miaka mingine mitano huyu. Kwa kweli tumeuvaa mkenge. Tuwaelimishe wananchi wenzetu huko vijijini kuhusu udhaifu wa huyu bwana ili tusirudie makosa tena
 
Uchaguzi ndio umeshakaribia na hadi sasa inavyoonekana wananchi wengi wanaishi maisha ya ujima,na tatizo ni uongozi mbaya.Watanzania tunaweza kuitoa serikali madarakani. sababu zipo nyingi ukiachana na kabineti yote kujawa na marafiki wa mkulu amediriki hata kuwaingiza watoto wake madarakani.mtoto bado yupo primary ashapewa shavu na hiki ni kipindi cha kwanza tu .sasa akiingia awamu ya pili lala salama unafikiri kitu gani kitatokea. tukimpa tena tutajuta kuzaliwa kwanza atabadilika na kuwa mkali hapo ndio mtajua kwa nini penguin haruki kama ndege wengine.lakini sasa tumtoeje?
 
Mkuu Heshma mbele,unaweza kufafanua zaidi?Una maana atolewe kwa njia nyingine tofauti na uchaguzi?
Nadhani ukishafafanua hiyo njia inaweza kusaidia zaidi kadri mjadala unavyozidi kwenda.
 
ninaposema kumtoa simaanishi kuingia msituni.i mean wananchi wasimpigie kura.kwa watz hakuna mtu ambaye yupo tayari kwenda msituni even me myself hata wewe hapo.kinachotakiwa ni sisi wenyewe kufunguka macho ...la sivyo tusije kulaumiana hapa.awamu ya lala salama itakuwa ya hatari sana huyu jamaa akirudi.
 
icon1.gif
Re: Кikwete asirudi madarakani

- Atarudi tu tena kwa kishindo, wananchi wengi bado hatuelewi umuhimu wa kura zetu! Iispokuwa the best thing ni kuendelea kujaribu kuwaamsha hao 70%, cha ajabu ni kwamba wengine wako humu JF.

Respect.

FMEs!
 
100% Nina uhakika huyu jamaa tunaweza kumtoa Moi alitolewa watu walikuwa wanamuita MTUKUFU sembuse huyu? natolea mfano wa moi kutolewa ila mambo yaliyotokea baada ya yeye kutolewa tuaachane nayo kwanza, kinachotakiwa huyu jamaa na kabinet yake(his kids) wasirudi tena .
 
Then kituw kinginew cha kusikitisha utakuta 70% ya wafuata upepo ipa Dar es salaam.hii ni hatari sana. media zote ziko pale..taarifa zote wanazipata hapa tena ontime. but no changes, badae wanangojea kikitokEa kitu wanaandamana mda ni huu , hakuna kulaza damu hapa .EBO!!!
 
........Kwa akili za watanzania wengi watamchagua tu Kikwete, tatizo huko vijijini wanajua chama kimoja tu CCM. Hivyo Kikwete akigombea mwakani na bila shaka atagombea kupitia CCM, lazima ashinde tu kwa ushindi mkubwa.
Mie wala sitojihangaisha kupiga kura.
 
Kikwete and CCM are devils we know. Opposition we don't know. If opposition wins we don't know what they will do. It's better to stick with the devils we know. So we must bring back Kikwete.
 
Back
Top Bottom