Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Hao ni Wazaramo. Ukioa mzaramo jua kuna wanaume wengine 2 nje. Yaani wewe + 2 = 3
Siyo wazaramo kuna hata hawa binadamu wa morogoro na wasukuma
Hao ni Wazaramo. Ukioa mzaramo jua kuna wanaume wengine 2 nje. Yaani wewe + 2 = 3
Sawa kabisa...kwa kifupi wamezaliwa hivyo...asipotongozwa basi atatafuta kwa nguvu ili mradi ana wa pembeni..
Sababu kubwa kabisa ni ile inayotokana na namna watu wawili walivyooa, wengine ndoa zilikwa na different expectations au circumnstance such as mimba nk. hivyo hakuna mapenzi ya dhati from day 1
kwa jinsi hali ilivyo hapa bongo... Inawezekana more than 50% ya wanawake wameshawahi kumegwa nje, wanaume ndio usiseme
Hio ndio Generalisation tunayokataa!! Kuna ushahidi gani kwa Wazaramo kwamba wanafunzwa hivyo ?
Utuombe radhi tafadhali, Mama yangu ni mzaramo, ameishi na mzee bila kucheat miaka 59 ndani ya ndoa mpaka mzee kafariki, nina dada watano wote wameolewa hakuna hata mmoja kuja na migogoro ya ku-cheat zaidi utakuta hao waume ndio wanakuwa suspect .
Cheaters ni tabia ya mtu awe mwanamme/mwanamke/mzaramo/mchaga/mzungu nk. Acha kutukana watu tafadhali!!
One the other hand, katika hali ya kawada, ni nani Super cheater kati ya mwanamke na mwanaume!!! Wanaume wengi hata kama mke awapende kiasi gani, ni lazima walambe magadi nje tu.
mbaya sana hiyo....tabia hailetwi na kabila, ni hulka ya mtu mwenyewe
sijui kuhusu super cheater lakini najua kwa percentage wanaume watakuwa juu kwenye cheating kwa sababu sex is sometimes used as a recreational act than love expression
Ok
RECREATION VS EXPRESSION OF LOVE MHHHH
DOES THIS MEAN.. ikiwa ni recreation then inakuwa siyo mbaya sana..na ikiwa expression of love ndiyo kosa kubwa ZAIDI?
Kufuatana na maelezo yako Mkuu, naomba kuelewa zaidi....Wanaume wanafanya kama burudani na wanawake wanaonyesha upendo kama ndivyo, then kosa la mwanaume ni dogo kuliko la mwanamke? Na hiyo tofauti ya ukubwa wa kosa inatokana na nini?
Dawa ni kutokuoa au kutojiingiza katika commited relationship. Wewe mega au megwa halafu sepa....mkijisikia hamu tena tafutaneni mmegane halafu mnaanza...that way hakuna anaye cheat au ku cheat-iwa
Komredi hii ndo style nayo tumia mimi lakini nakukumbusha yule bibie bado ananifuatilia.
Komredi hii ndo style nayo tumia mimi lakini nakukumbusha yule bibie bado ananifuatilia.
ALLIEN,
Before the above 5 reasons to workout, the woman must be EVIL.
WoS, i think you missed my point;
i meant wanaume wanakuwa juu kwenye statistics [meaning male will have higher percentage ya cheaters]; reason given ni kwamba wanaume tunaweza fanya ngono nje ya ndoa zetu simply because of pleasure (easily) as compared to wanawake ambao it needs more than just pleaseure/recreation to have it. in most cases women sleep with men they love while men sleep with women they want to enjoy/taste/kuwaonja for whatever reason... ITS ALL MY PERCEPTION AND NO DATA AVAILABLE
Or, did i miss something?? tell me what was on your mind when reading the post as i am worried that you became defensive too early
MTM,
NiliposOma post yako haraka ikanikumbusha mijadala ambayo nimeiskia nje ya JF on the same lines - burudani ( wanaume) na mapenzi ( wanawake)
Kuna mtu aliwahi kusema kuwa kinachowaumiza wanaume wanapokugundua wake/wapenzi wao wamekuwa na mahusiano ya ziada ni kule kujua kuwa wanawake hao actually wana mapenzi na mtu/watu wengine ilhali mwanaume anapojigonga nje ni kutafuta starehe zaidi na siyo kuwekeza mapenzi.
Ndiyo nikauliza... je hapo ina maana kuna kosa jepesi na zito au tofauti kwa wanawake na wanaume?
Kama mwanamke, naweza kusema kuwa cheating whether for leisure/pleasure/recreation ni kosa tu kama lile la ku cheat out of love.Naweza kusema by analogy kuwa mwanamke anayecheat kwa kumpenda mtu wa nje basi ni kwa sababu anakosa upendo wa ndani na kama tujuavyo kila mwanadamu ameumbwa na hulka ya kutaka kupendwa...atakapokosa upendo pale anapostahili kuupata basi chances are ataupata kwingine..hata watoto wanaokosa upendo wa wazazi mara nyingi ni rahisi kuangukia mikono ya wabakaji na wadhalilishaji wengine.
Kwa kifupi Binadamu tupo katika kundi la wanyama. Kundi hili lina matamanio ya kufanya tendo la ndoa na mtu zaidi ya mmoja. Dini na ustaarabu ndio umefanya tendo la kujamiina na mwanamke au mwanaume zaidi ya mmoja lionekane ni la haramu. Angalia hata Waislamu ambao wana wake wanne ambalo linaruhusiwa katika dini hiyo. Hawa pia pamoja na kuwa na wanawake wanne bado hutamani wanawake wengine nje ya ndoa zao. Miaka ya nyuma hakukuwa na vishawishi vingi na pia hakukuwa na technology ambayo ilirahisisha watu kucheat ndani ya ndoa zao. Lakini miaka ya sasa kutokana na kuongezeka vishawishi hivyo na technology kama cell phones, internet n.k. kutembea nje ya ndoa kumekuwa ni rahisi mno ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Ni kazi mno kula ugali na maharage asubuhi na mchana kwa mwezi mzima, imagine kutembea na mume au mke huyo huyo kwa miaka 20 au zaidi ya ndoa. Sisemi hivi kwa kuhalalisha watu watembee nje lakini ndiyo ukweli wa mambo.
Wenzetu wengi wa kizungu wameliona hilo na kuanza kulifanyia kazi kwa kuwa na open marriage ambapo mke na mume wanapeana ruhusa ya kuwa na mwenzi wao nje ya ndoa.
Pia niliwahi kufanya kazi na Waswedish na Wadanish Tanzania ambao walikuwa wanapenda sana kwenda katika mbuga za wanyama, ngorongoro, mikumi n.k. Cha kushangaza wengi wao walikuwa wameoa lakini njemba walikuwa wanaombana ruhusa ya kuchukua mke wa mwenzie na kwenda naye huko. Siye wabongo wenye wivu wa mwaka 47 tulikuwa hata hatuelewi umwache mke wako nyumbani na kwenda na mke wa mwenzio vacation ya wiki nzima, lakini kwa wenzetu halikuwa tatizo.
Imagine rafiki yako mpenzi akufuate na kukuomba kwenda vacation landa Nairobi au Zenj na mkeo ha ha ha ha ha itakuwa patashika nguo kuchanika na urafiki utaisha siku hiyo hiyo ha ha ha ha labda baada ya miaka michache nasi Wabongo tutaliruhusu hilo ha ha ha ha lakini sijui