Sababu 4 Ambazo zinakwamisha mipango ya watu wengi

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,217

Kama una malengo Fulani katika maisha na unapenda kufahamu ni nini kinachopelekea wengi kushindwa kutimiza malengo yao ili kuhakikisha unaepuka kurudia makosa, hii mada inakuhusu. Mada hii inajaribu kuelezea mambo makuu ambayo wengi wanashindwa kutimiza malengo yao. Mambo haya yamekuwa yakikwamisha wengi. Ni vyema kufahamu ili kuweza kupanga malengo na kuyatimiza. Nitaelezea mambo makuu manne. Kuna uwezekano kuwa kuna sababu nyingi zinazoweza kupelekea watu kushindwa kutimiza malengo yao lakini sababu hizi nne zimechangia kwa kiasi kikubwa.

1. Mitazamo duni
Kuna wengi ambao wanashindwa kutimiza plans na malengo mbalimbali kwanza kwa kuamini kuwa hawawezi kutimiza. Kupanga lengo sio kwamba ndio kuamini kuwa utaweza kutimiza. Kuamini ni jambo la ndani mwa nafsi zetu na sio kitu kirahisi kama tunavyofikiri. Inaweza pia ikatokana na watu wamekuambia kuwa haiwezekani, labda kutokana na wao kushindwa. Inaweza ikatokana na kuona ugumu wa kutimiza malengo yako.

Unapokuwa na imani kuwa unaweza, au unapokuwa na Imani kuwa hauwezi, katika upande wowote upo sahihi– Henry Ford

Ili kuepuka changamoto hii,
  • Tenganisha mipango mikuwa kuwa mipango midogo midogo itakayokusaidia kufikia mipango mikubwa,
  • Epuka kukata tamaa haraka,
  • Kuwa na mitazamo chanya,
  • Kuwa makini na angalia nafasi yoyote inayoweza kukusaidia kutimiza malengo yako na ifuate.
2. Kupanga malengo ambayo sio sahihi
Kuna wakati huwa tunapenda kupanga malengo kutokana na kuiga, kutofahamu nafsi inapenda kufanya nini, kushindwa kuangalia vipaji vyetu na nafasi tulizo nazo kufanya kitu cha upekee. Panga malengo sahihi, kuna wakati unaweza ukawa unapanga malengo ambayo unataka kuonyesha sifa kwa wengine, malengo ambayo huyapendi kutoka moyoni, malengo ambayo unayapanga kwa kuiga watu, kutumia kigezo cha kushindwa kama kigezo, kuiga mawazo ya watu bila kuangalia nafsi inataka nini.

3. Mazoea mabaya
Hili ni mojawapo ya tatizo ambalo kiuhalisia linawasumbua watu wengi sana. Wengi wanapanga malengo lakini wanasahau kuwa mazoea yana nafasi kubwa sana katika maisha yetu. Kila siku, wanadamu wanatofautiana jinsi wanavyotumia muda wao na wanavyoishi kimazoea. Mazoea ndio yanayotenganisha waliofanikiwa malengo na wanaishindwa kufanikiwa malengo. Mazoea kama kutumia pesa vibaya, matendo yasiyo na umuhimu katika maisha, na mazoea yasiyo na faida ni vitu vinavyorudisha nyuma hatua za kufika maendeleo na kufanikisha mipango katika maisha. Jenga mazoea yenye faida katika maisha na jizoeshe kuna furaha kuishi katika mazoea hayo. Kuna watu wanaojizoesha kufanya kazi kwa bidii, mazoea ya kutumia pesa na mali vyema, mazoea ya kuishi na watu vizuri, mazoea ya kujisomea vitu mbalimbali, na mazoea ya kuwa na mitazamo sahihi.

4. Kuathiriwa na sababu za nje yako
Katika kupanga kutimiza malengo yetu kuna changamoto ambazo ni lazima tuzipitie, mawazo hasi katika akili zetu lazima yawepo, watu ambao watakuambia mambo ambayo ni hasi na kukatisha tamaa. Vikwazo na changamoto katika kutimiza mipango ni kawaida katika maisha. Hakuna asiyekutana na changamoto. Ila jinsi unavyotazama changamoto katika upande chanya ndipo utaweza kushindwa changamoto na kufika mbali katika malengo.
 
kuntu
 
Barikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom