Sababu 3 kwa nini Ngeleja ajiuzuru

Huyu Beatrice analeta huruma za kike eti Ngeleja asiwajibike.
Sasa wewe umeanika uovu watu wanataka kumpiga chini unawatetea sasa si kheri usingeleta iyo barua

Beatrice ni popo, simuamini tena, inaonekana ana nidhamu ya woga au ni mwepesi wa kuchakachuliwa
 
Ndg wazalendo hapo nishati mlitegemea nini kumuweka malima?jamma ukimuangalia tu unapata jibu kuwa deal kwake ni ishu ndogo.ngereja amalize tu kwani hawawezi kutuletea mabadiliko.
 
Nashangaa hadi leo hii Ngeleja yupo bungeni, bado anajiita waziri. Mbunge gani na waziri gana asiye na uchungu na wananchi wake?. Shule ngapi za kata jimboni kwake hazna madawati? Halafu yeye na kundi lake unajipangia posho zisizo na kichwa wala miguu. Ina maana huu ugumu wa maisha unaotukabili wao hauwagusi?. Nasema this is too much, wamekula na vipofu, sasa wametushika mikono. Lazma tupige kelele. Nasema imetosha. Serikali ikishindwa kuwawajibisha hawa jamaa itazidi kujipalilia moto. Hawa jamaa nawafananisha na wauaji. Ngeleja na wenzako mnalinajisi bunge. Jela ndio kunawafaa.
ALA HILI LIMEKUGUSAE! Badilika mzee tanzania inaliwa na wachache
 
Kwa mara ya kwanza wabunge wengi wa CCM kuwa upande mmoja na upinzani.. hata ole sendeka anataka "luhanjo na jairo wawasilishe barua ya kujiuzulu kwa rais jion ya leo" nimeipenda hii

Luhanjo si alishastaafu kwa mujibu wa sheria? Ajiuzulu kitu gani?
 
Nashangaa hadi leo hii Ngeleja yupo bungeni, bado anajiita waziri.

Mbunge gani na waziri gana asiye na uchungu na wananchi wake?. Shule ngapi za kata jimboni kwake hazna madawati? Halafu yeye na kundi lake unajipangia posho zisizo na kichwa wala miguu.

Ina maana huu ugumu wa maisha unaotukabili wao hauwagusi?. Nasema this is too much, wamekula na vipofu, sasa wametushika mikono. Lazma tupige kelele.

Nasema imetosha. Serikali ikishindwa kuwawajibisha hawa jamaa itazidi kujipalilia moto. Hawa jamaa nawafananisha na wauaji.

Ngeleja na wenzako mnalinajisi bunge. Jela ndio kunawafaa.

kumbe sa nyingine hata wewe wanakuboa,big up sana for this comment,
 
NGELEJA angekua muislam ungekuta siku nyingi kisha pigwa chini kwa shinikizo kutoka kila kona
 
1.Ngeleja ndie anaisimamia hii wizara
2.Alisign posho ya 4mil
3.Alikuwepo ofisini kumpokea Jairo wakati anarudishwa ofisini so anajua fika kuwa lazima amtete katibu wake bse he is part of the deal.
Hii ni kwa mujibu wa Wenje!

Haiwezekani Ngeleja kujiuzuru kwasababu amewekwa pale wizara ile kwa kufanya kazi maalum ya mkweree; kumbuka hii awamu ya pili mkweree kazi yake kubwa ni kuwaibia watanzania maskini rasilimali zao, na mtu anayefanikisha mpango huo ni huyo Ngeleja kijana wa Mafisadi!! Hivyo kama unategemea kuwa atajiuzuru au kuachishwa kazi you will have to wait may be until 2016!!
 
teh teh teh Shelukindo ni Dada wa kuzaliwa tumbo moja na Shetani...

Huyu mama ni mamluki fulani hivi kwani hana msimamo, leo atakuwa mpinga mafisadi bungeni na kesho utamkuta anakula sahani moja na wakina Lowassa!! Inaelekea ana tabia za kichangu fulani hivi na ndio maana anamtetea eti Ngeleja asiwajibishwe; pengine alishampa mshiko maana huyo mama kuomba omba maofisini kwa wakubwa ndio zake!
 
Matokeo ya hii ripoti yamenizindua nianze kuwaza hii timu ya Wizara ya Madini na Nishati ni kwa kiasi gani hata upande wa madini yetu nako wanachukua fedha kutoka kampuni za Barrick, Anglo Gold, Tanzanite One, Mwadui Diamonds, Songas etc. Inanitia wasiwasi
 
Huyu mama ni mamluki fulani hivi kwani hana msimamo, leo atakuwa mpinga mafisadi bungeni na kesho utamkuta anakula sahani moja na wakina Lowassa!! Inaelekea ana tabia za kichangu fulani hivi na ndio maana anamtetea eti Ngeleja asiwajibishwe; pengine alishampa mshiko maana huyo mama kuomba omba maofisini kwa wakubwa ndio zake!

sivema kumwita mama huyu changu mchango aliutaoa unauona ni wakijinga au akili yako matope bila yeye ungeyaona hayo huoni mchango wake umeunda kamati ya bunge ambapo kamati kama hii ikiendelezwa naifanyike kila wizara hamuoni litakuwa jambo la faraja. Watu huoni wamesema nitatizo la kimfumo linapelekea waziri asiwe nanguvu kutokana nahili halazimiki kujiuzuru bw ngeleja. Japo ni vizuri angeamua kujiweka pembeni ilikutunza heshima yake. Nakuendeleza mtindo wa uwajibikaji.
 
nasema ingekuwa Kenya hawa viongozi wasingekuwepo ktk nafasi zao,ila kwa kuwa ni Tz shamba la BIBI hatoki mtu hapo mtanieleza
 
Tunaomba Ngeieja kama unataka laana kutoka kwa Mungu wewe,mke wako, Regina na familia yako,tafadhali acha kuitesa na kuisumbua hiyo familia yatima hapo Mwanza.Hiyo nyumba unayoitaka kwanguvu ni yao,wameachiwa na wazazi wao.kosa lao ni nini. kwanini wataka kuwadhurumu mali yao kisa kuwa umejenga hotel ya kifahari karibu nao.Kama unaitaka hiyo nyumba kwa nini usiwaite hao yatima uzungumze nao,kuliko kuwafanyia huo unyama kupitia huyo diwani wa ccm unayemtumia.Utajiri wote huo ulionao haukutoshi mpaka unataka kudhulumu mali ya yatima haitoshi umejenga hadi ndani ya eneo lao.Kumbuka unachokifanya hata watoto wako watafanyiwa hivyo hivyo.Acha kabisa,ukiendelea tunaanika kila kitu.huyo diwani anakudanganya.Wewe mwanasheria uliebobea unafanya mambo kama sio msomi .Endeleza huo utapeli wako na huyo diwani wako uone nguvu ya umma
 
Tatizo ni serikali ya kiushikaji. Hata uteuzi wao ni wa kiushikaji. Matokeo ndiyo hayo sheria hazifuatwi. Fikiria mpaka ruhanjo anamdharau waziri mkuu! Sheria ndiyo uzuri wake we fanya kishikaji lakini ukinaswa hutoki waende kwao kama 4m ndiyo posho kweli kijana ampiga sana! Acha tuwe gizani!
 
Jamani,

Hapa Ngeleja hawezi kusema eti alikuwa hajui lolote kuhusu hii barua aliyoandika Jairo. Kimsingi Jairo alipata malekezo toka kwa mabosi wake yaani Ngeleja na Malima. Kwanza inasema "Kama ilivyo kawaida yetu"

Haiingii akilini kusema kwamba haya yalikuwa maamuzi ya Jairo bila wakubwa wake kujua.

Wah Wabunge wanapojadili taarifa hii, ichukuliwe kuwa ni taarifa ya wizara, Jairo hajaiandika ile barua ya kukusanya mihela kama yeye D.Jairo, bali kama KM wa wizara husika. Sasa katika hili wakuu wa hii wizara watakwepaje panga atakalopigwa nalo Jairo??

Kama Jairo ataonekana ana makosa (kitu ambacho siyo rahisi kukwepa) basi Waziri na Naibu wake wamo. Kama wanataka mawaziri wapone basi lazima Jairo apone kuwaokoa hao mabosi wake.

Swala hili nalifananisha na mgombea mwenza kwenye mbio za Uraisi TZ. Kama mgombea mwenyewe akishinda then automatically mgombea mwenza naye anaukwaa u-makamu, na kinyume chake. Same applies kwenye issue ya Jairo. Atakapoonekana Jairo ana hatia tu, basi Ngeleja na mdogo wake hawawezi kupona. Huu ndo ukweli kama tunataka kuonyesha utawala bora tunaousema kila siku.

If Jairo, Ngeleja, Adam Malima and this old man Luhanjo (though is about to retire) must go otherwise will be absolutely impunity. If this won't happen Hon. Pinda must resign because no one is going to respect him from this saga.
 
Huyu Beatrice analeta huruma za kike eti Ngeleja asiwajibike.
Sasa wewe umeanika uovu watu wanataka kumpiga chini unawatetea sasa si kheri usingeleta iyo barua

Mkuu naungana na ww 100%, huyu mama sijui vp..mara ooh its not fair mara tusiogepe kufichua udhalim mara mm (Shelukindo) sihongeki maneno meengi.!
Cha msingi aungane na wabunge wenzake na watanzania kwa ujumla tunaotaka ngeleja na crew yake wawajibishwe! Asilete longolongo..
 
sikilizen jamani. Shelukindo alichofanya mara ya kwanza kilikuwa katika kuandaa mazingira ya genge lake. Ila baada ya kugundua kuwa mchakato huo unaweza kumuadhiri boss wake ndio anakuja na stail za kutaka kumkingia kifua ngeleja. Ila kuna kitu zaidi nyuma ya hili. Mawazo yangu tu.
 
Nafikiri wote mko sahihi wajiuzulu wala hili halihitaji kuwaita Wazee na kuzungumza nao. Sasa nani apewe hii Wizara? Mi nafikiri Magufuli.
 
Back
Top Bottom