Sababu 3 kwa nini Ngeleja ajiuzuru

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
1.Ngeleja ndie anaisimamia hii wizara
2.Alisign posho ya 4mil
3.Alikuwepo ofisini kumpokea Jairo wakati anarudishwa ofisini so anajua fika kuwa lazima amtete katibu wake bse he is part of the deal.
Hii ni kwa mujibu wa Wenje!
 
Lembelei anasema kuwa kamati imetuamia lugha nyepesi nyepesi ilibidi waseme Ngeleja afukuzwe na si kumungunya maneno.
 
Jamani,

Hapa Ngeleja hawezi kusema eti alikuwa hajui lolote kuhusu hii barua aliyoandika Jairo. Kimsingi Jairo alipata malekezo toka kwa mabosi wake yaani Ngeleja na Malima. Kwanza inasema "Kama ilivyo kawaida yetu"

Haiingii akilini kusema kwamba haya yalikuwa maamuzi ya Jairo bila wakubwa wake kujua.

Wah Wabunge wanapojadili taarifa hii, ichukuliwe kuwa ni taarifa ya wizara, Jairo hajaiandika ile barua ya kukusanya mihela kama yeye D.Jairo, bali kama KM wa wizara husika. Sasa katika hili wakuu wa hii wizara watakwepaje panga atakalopigwa nalo Jairo??

Kama Jairo ataonekana ana makosa (kitu ambacho siyo rahisi kukwepa) basi Waziri na Naibu wake wamo. Kama wanataka mawaziri wapone basi lazima Jairo apone kuwaokoa hao mabosi wake.

Swala hili nalifananisha na mgombea mwenza kwenye mbio za Uraisi TZ. Kama mgombea mwenyewe akishinda then automatically mgombea mwenza naye anaukwaa u-makamu, na kinyume chake. Same applies kwenye issue ya Jairo. Atakapoonekana Jairo ana hatia tu, basi Ngeleja na mdogo wake hawawezi kupona. Huu ndo ukweli kama tunataka kuonyesha utawala bora tunaousema kila siku.
 
Huyu Beatrice analeta huruma za kike eti Ngeleja asiwajibike.
Sasa wewe umeanika uovu watu wanataka kumpiga chini unawatetea sasa si kheri usingeleta iyo barua
 
Namuonea huruma sana huuyo mama beatrice amechokonoa moto hataki uunguze kila kitu kusafisha .....anataka moto uruke baadhi ya vichaka!!!inashangaza
 
Huyu jamaa akipona na hili kwa kweli nitamnyoshea mikono. He has too much already.

Kwahili hachomoki mtu na vile magamba wanatafuta namna ya kujisafisha kwa umma, kwasababu hizi tu zilizoainishwa na kamati pamoja na wachangiaji lazima waanze na hawa kwanza halafu ndipo wapate kasi ya kuyaendea na yale magamba magumu! Nilisikia humu kuwa Ngeleja ni product ya RA vile vile nikasikia Magoma alikuwa south kwenye deal flan la kutaka kujenga kiwanda sijui cha dawa so hawa jama wanaonekana ni wazee wa madeal mwanzo mwisho!
 
1.Ngeleja ndie anaisimamia hii wizara
2.Alisign posho ya 4mil
3.Alikuwepo ofisini kumpokea Jairo wakati anarudishwa ofisini so anajua fika kuwa lazima amtete katibu wake bse he is part of the deal.
Hii ni kwa mujibu wa Wenje!

Alilasimisha kupiti umeme pale kwa kakobe
 
1.Ngeleja ndie anaisimamia hii wizara
2.Alisign posho ya 4mil
3.Alikuwepo ofisini kumpokea Jairo wakati anarudishwa ofisini so anajua fika kuwa lazima amtete katibu wake bse he is part of the deal.
Hii ni kwa mujibu wa Wenje!
Asante wenje kwa kutujuza hili...
 
Kwa mara ya kwanza wabunge wengi wa CCM kuwa upande mmoja na upinzani.. hata ole sendeka anataka "luhanjo na jairo wawasilishe barua ya kujiuzulu kwa rais jion ya leo" nimeipenda hii
 
Cjui kama hawa kina ngeleja na wenzake wanauchungu wa jinc watz 2navyoumia.afu wanakula posho za milion 4per day?duu kweli nchi inanuka imejaa uozo tu!nashukulu watz co wapenda vurugu
 
1. Mikataba ya Madini kuendeea kuikumbatia na kuendelea kuingia mikataba ya kifisadi mfano Mantra Uranium, Buzwagi, Buckreef,
2. Richmond, Dowans,Symbion,Songas, na hatma mbovu ya umeme ambao haujulikani utapatikana lini.
3. Mabilioni ya Jairo.
4. Alikuwa Advocate wa RA na kufanyakazi Vodacom Tz akisimamia maslahi ya RA
5. Jimboni kwake amekusahu sana.
6. Si mtaalamu wa wizara kwani yeye ni Advocate aliyetokea mitaa ya Independence na azam.
7. Ameibeba sana Aphatel, Shivacom katika kumiliki vodacom Congo nao ni ufisadi mkubwa.
 
Ila hawa Ngeleja na Malima daily wanasimangwa ila bado wanakomaa.
Unacheza na ngawila
 
Nashangaa hadi leo hii Ngeleja yupo bungeni, bado anajiita waziri.

Mbunge gani na waziri gana asiye na uchungu na wananchi wake?. Shule ngapi za kata jimboni kwake hazna madawati? Halafu yeye na kundi lake unajipangia posho zisizo na kichwa wala miguu.

Ina maana huu ugumu wa maisha unaotukabili wao hauwagusi?. Nasema this is too much, wamekula na vipofu, sasa wametushika mikono. Lazma tupige kelele.

Nasema imetosha. Serikali ikishindwa kuwawajibisha hawa jamaa itazidi kujipalilia moto. Hawa jamaa nawafananisha na wauaji.

Ngeleja na wenzako mnalinajisi bunge. Jela ndio kunawafaa.
 
Back
Top Bottom