Sababu 3 Kuonyesha Kwamba Richmond ni Mali ya Rostam Zatajwa!

Mafisi-adi wanawazushia kila leo uwongo makamanda wetu! Mimi sioni Lowasa atanyanyukaje kisiasa hata kama akifurukuta vipi? Ndio maana mafisi-adi yanadai eti ripoti kama ingekabidhiwa kwa JK kwanza kabla ya kusomwa bungeni, JK angemwokoa Lowasa! Hizo sio dalili za maji kuzidi unga?

wewe siasa za bongo huzijui..unakaa na kuamini maneno ya JK..sasa kwa taarifa yako Lowassa anaweza kuja kuwa rais na kura yako moja haitamzuia kuwa hivyo
 
SIJAONA KIPYA KWA HIZO SABABU KUTAJWA. Tulishajadili sana humu kuhusu Dowans na Richmonds.

Wala sioni kazi gani majaji anaowataka RA watafanya, labda waje hapa JF wakusanye data, hiyo tu inatosha kumuhusisha RA na Dowans.
 
umeona eeeh kiongozi?yaani mi sina hamau na hili linnchi linaloitwa tanzania
 
Watanzani bwana inawachukua miaka mingapi kubaini muiran Rosti tamu ni gaidi wa uchumi wa Tanzania.
Unajua Watanzania wengi wamejua kua Rostam AZIZI ni gAIDI WA UCHUMI WETU, haina mjadala, mimi natatizika na jambo moja na ambalo Watanzania wengi naamini wanatatizika nalo, way forwad, ni ipi nguvu ya UMMA katika sakata ili, maana Bunge la Jamuhuri ni kama limeelemewa, limekosa uwezo wa kulimalizza hili sakati .
Rais wa Jamuhuri ni kama anaishi dunia ya peke yake, maana anapata kigugumizi kila mara anapotakiwa kutolea ufafanuzi swala hili.
Waziri Mkuu, aaah ! huyu siamini kama anauwezo hata wa kuongoza familia, maana kila mara amekua bigwa wa kulalamika , kunung'unika , ni kama hana mamlaka, huyu ni muoga sana. naona heri hata Sumaye.
Makamu wa Rais , mimi nadhani huyu ni kama kategwa na kina Kikwete, maana hata Role yake haionekani, ni heri Haya Dr Omary ALLI Juma , yeye alijikita kwenye mazingira kivitendo.
Jamani tufanyeje ili kumaliza tatizo hili.? je sisi raia Wazawa tukiamua tunaweza kuwafagilia Mbali hawa magaidi wa uchumi wetu? tutumie njia ipi?
 
wewe siasa za bongo huzijui..unakaa na kuamini maneno ya JK..sasa kwa taarifa yako Lowassa anaweza kuja kuwa rais na kura yako moja haitamzuia kuwa hivyo

Alama za nyakati haziko upande wa Lowasa, I am telling you the truth! Doa la ufisadi la Lowasa halitafutika kwa sadaka (hela zake za kifisadi) wala kwa dhabihu (juhudi zake za kutumia vyombo vya habari)!
 
Unajua Watanzania wengi wamejua kua Rostam AZIZI ni gAIDI WA UCHUMI WETU, haina mjadala, mimi natatizika na jambo moja na ambalo Watanzania wengi naamini wanatatizika nalo, way forwad, ni ipi nguvu ya UMMA katika sakata ili, maana Bunge la Jamuhuri ni kama limeelemewa, limekosa uwezo wa kulimalizza hili sakati .
Rais wa Jamuhuri ni kama anaishi dunia ya peke yake, maana anapata kigugumizi kila mara anapotakiwa kutolea ufafanuzi swala hili.
Waziri Mkuu, aaah ! huyu siamini kama anauwezo hata wa kuongoza familia, maana kila mara amekua bigwa wa kulalamika , kunung'unika , ni kama hana mamlaka, huyu ni muoga sana. naona heri hata Sumaye.
Makamu wa Rais , mimi nadhani huyu ni kama kategwa na kina Kikwete, maana hata Role yake haionekani, ni heri Haya Dr Omary ALLI Juma , yeye alijikita kwenye mazingira kivitendo.
Jamani tufanyeje ili kumaliza tatizo hili.? je sisi raia Wazawa tukiamua tunaweza kuwafagilia Mbali hawa magaidi wa uchumi wetu? tutumie njia ipi?

Umeona wapi duniani Waziri Mkuu anatoa machozi bungeni? Only in Tanzania! Hii ndege ya uchumi ya Lowasa iling'olewa matairi na gaidi la kiuchumi, Rosti tamu? Mbona bado iko juu ya mawe?
 
Kwenye Katiba yetu mpya, kwa haya mambo ya Uhujumu Uchumu lets copy Chinese laws......itakuwa tamu sanaa na nnchi yetu itaendelea baada ya hapo......bila ya hivyo maendeleo ni ndoto!!!!!
 
Back
Top Bottom