Sababu 10 za maaskofu kukataa katiba pendekezwa

Muamba ngozi huvutia kwake, Serikali (ya ccm) lazima ivutie kwake coz ndo imeratibu mchakato mzima wa katiba inayopendekezwa.

LAKINI;

Bila kuonesha ushabiki, itikadi nk. kwa kuzingatia hizo sababu walizoziona maaskofu pamoja na mapungufu mengine ndani ya "katiba inayopendekezwa" ni dhahiri kura ya HAPANA ni sahihi kabisa

Mkuu, asante sana kwa hii kauli, jibu ni hapana. Tumechoka kuburuzwa.
 
Back
Top Bottom