Sababu 10 za maaskofu kukataa katiba pendekezwa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,273
21,387
MAASKOFU KUSHAURI WANANCHI WAPIGE KURA YA HAPANA WAPO SAHIHI KABISA
Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) walitoa taarifa kwa wakristu wote na wananchi kwa ujumla wajiandikishe kwa wingi ili wapige kura ya hapana kwa Katiba Inayopendekezwa..maneno mengi yamesemwa kuhusu kauli hiyo,wapo wanaounga mkono na wapo wanaopinga.
Ukweli upoje katika hili?
Ukweli ni kwamba maaskofu wapo sahihi kabisaa kutokana na sababu 10 zifuatazo;
1. Katika suala hili la katiba mpya halina maridhiano ya kitaifa katika mchakato mzima.
2. Mchakato ulivyoanza dini zote za kikiristo na kiislam Zilishilikishwa lakini mchakato ulipofikia kwenye bunge maalum,ushauri wa viongozi wa dini ulianzakupuudhwa, hasa waliposhauri mchakato usimame hadi maridhiano yapatitakane na kundi lililotoka nje la UKAWA, ili kutengeneza muafaka wa kitaifa.
3. Mambo mhimu yaliyokuwepo ktk rasmu ya katiba yamepuuzwa.
4. Mda wa kupewa elimu kwa wananchi ni mdogo sana hautoshi kwa wanaichi kuielewa katiba inayopendekezwa,katiba pendekezwa zinazosambazwa kwa makadilio ni kama nakala 40 ya katiba pendekezwa kwa kila kijiji kimoja. HAZITOSHELEZI
5. Kuna dalili za kuingizwa mahakama ya kadhi, ambayo hayana maslahi ya kitaifa zaidi ya kutafta kuungwa mkono na wananchi wa upande wa zanzibar.
6. Hakuna mwafaka wa maridhiano wa kundi moja la upinzani (UKAWA) ambalo tayali lishatangaza kususia kushiriki katika mchakato wa kupiga kura ya katiba pendekezwa.
7. Haiwezekani kwa nchi maskini kama tanzania ifanye mambo makubwa ya kitaifa ndani ya mwaka mmoja, (a).uchaguzi wa serikali za mitaa (b).kujiandikisha na kupiga kura ya katiba pendekezwa (c) uchaguzi mkuu…ina maana hakuna mambo mengine ya kufanya? Kuna haraka gani kuyafanya haya?
8. Hata kama tutapiga kura mwaka huu, katiba hatianza kutumika mwaka huu kutokana na mchakato.
9. Kutokana na sintofahamu, kwanini serikali inaharakisha mchakato na kwanini isifanye marekebisho madogo ya katiba ya mwa 1977,kama lengo ni uchaguzi mkuu?
Viongozi wa dini wana nafasi kubwa sana katika kubariki au kukataa mchakato kutokana mamlaka na kibali mbele za Mungu…Hata nabii Mussa ambaye alikuwa kiongozi wa wana wa Israel, alipewa mamlaka ya kukataa au kuruhusu jambo, utaona pale alipowaongoza wana wa Israel wavuke bahari ya shamu na wakatii
 
2. Mchakato ulivyoanza dini zote za Kikiristo na Kiislam Zilishilikishwa lakini mchakato ulipofikia kwenye Bunge maalum,ushauri wa viongozi wa dini ulianzakupuudhwa, hasa waliposhauri mchakato usimame hadi maridhiano yapatitakane na kundi lililotoka nje la UKAWA, ili kutengeneza muafaka wa kitaifa.

3. Mambo muhimu yaliyokuwepo ktk rasmu ya katiba yamepuuzwa.

4. Mda wa kupewa elimu kwa wananchi ni mdogo sana hautoshi kwa wanaichi kuielewa katiba inayopendekezwa,katiba pendekezwa zinazosambazwa kwa makadilio ni kama nakala 40 ya katiba pendekezwa kwa kila kijiji kimoja. HAZITOSHELEZI.

5. Kuna dalili za kuingizwa mahakama ya kadhi, ambayo hayana maslahi ya kitaifa zaidi ya kutafta kuungwa mkono na wananchi wa upande wa zanzibar.

6. Hakuna mwafaka wa maridhiano wa kundi moja la upinzani (UKAWA) ambalo tayali lishatangaza kususia kushiriki katika mchakato wa kupiga kura ya katiba pendekezwa.

7. Haiwezekani kwa nchi maskini kama tanzania ifanye mambo makubwa ya kitaifa ndani ya mwaka mmoja, (a).uchaguzi wa serikali za mitaa (b).kujiandikisha na kupiga kura ya katiba pendekezwa (c) uchaguzi mkuu…ina maana hakuna mambo mengine ya kufanya? Kuna haraka gani kuyafanya haya?

8. Hata kama tutapiga kura mwaka huu, katiba hatianza kutumika mwaka huu kutokana na mchakato.

9. Kutokana na sintofahamu, kwanini serikali inaharakisha mchakato na kwanini isifanye marekebisho madogo ya katiba ya mwa 1977,kama lengo ni uchaguzi mkuu?

Viongozi wa dini wana nafasi kubwa sana katika kubariki au kukataa mchakato kutokana mamlaka na kibali mbele za Mungu.

Hata nabii Mussa ambaye alikuwa kiongozi wa wana wa Israel, alipewa mamlaka ya kukataa au kuruhusu jambo, utaona pale alipowaongoza wana wa Israel wavuke bahari ya shamu na wakatii
 
Serikali inachowalaumu ni kuwashinikiza wakristo wote kupiga kura ya hapana wakati ni dhahiri baadhi yao wanaikubali katiba pendekezwa. Serikali iliwataka wawe katikati (Neutral)
 
Lakini mbona Serikali na akiwemo Rais wanatuambia tuipigie kura ya NDIO.

Na ikiwa wengine hatuikubali. Kwa nini wasituambie tuwe nyuturo!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Muamba ngozi huvutia kwake, Serikali (ya ccm) lazima ivutie kwake coz ndo imeratibu mchakato mzima wa katiba inayopendekezwa.

LAKINI;

Bila kuonesha ushabiki, itikadi nk. kwa kuzingatia hizo sababu walizoziona maaskofu pamoja na mapungufu mengine ndani ya "katiba inayopendekezwa" ni dhahiri kura ya HAPANA ni sahihi kabisa
 
hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hapana .na ikianza kampen ya hiyo katiba kuna haja ya pia kuanza kampen ya kuikataa kwa kauli moja tena mikutano ya athara na t shirt za hapana kwa maslai watz wote .nawaunga mkono maaskofu kwa moyo mmoja
 
Why waste your time...!!jana katika bunge Ummi Mwalimu alisema wazi kwamba kila kitu kimeshapangwa na hakuna ubaya kusema watu wapige kura ya ndiyo sasa hivi.Hii ni moja ya sababu iliyomfanya PM aingie kichakani leo kukwepa maswali ya papo kwa papo.Leo bunge lilikuwa liwake moto na lisengemalizika.Inteligisia yao babu kubwa..na kisingizio wangesema m/kiti mgeni.
 
maaskofu kushauri wananchi wapige kura ya hapana wapo sahihi kabisa

jumuia ya kikristo tanzania (cct) na baraza la maaskofu katoliki tanzania (tec) walitoa taarifa kwa wakristu wote na wananchi kwa ujumla wajiandikishe kwa wingi ili wapige kura ya hapana kwa katiba inayopendekezwa..maneno mengi yamesemwa kuhusu kauli hiyo,wapo wanaounga mkono na wapo wanaopinga.
Ukweli upoje katika hili?

Ukweli ni kwamba maaskofu wapo sahihi kabisaa kutokana na sababu 10 zifuatazo;

1. Katika suala hili la katiba mpya halina maridhiano ya kitaifa katika mchakato mzima.

2. Mchakato ulivyoanza dini zote za kikiristo na kiislam zilishilikishwa lakini mchakato ulipofikia kwenye bunge maalum,ushauri wa viongozi wa dini ulianzakupuudhwa, hasa waliposhauri mchakato usimame hadi maridhiano yapatitakane na kundi lililotoka nje la ukawa, ili kutengeneza muafaka wa kitaifa.

3. Mambo muhimu yaliyokuwepo ktk rasmu ya katiba yamepuuzwa.

4. Mda wa kupewa elimu kwa wananchi ni mdogo sana hautoshi kwa wanaichi kuielewa katiba inayopendekezwa,katiba pendekezwa zinazosambazwa kwa makadilio ni kama nakala 40 ya katiba pendekezwa kwa kila kijiji kimoja. Hazitoshelezi.

5. Kuna dalili za kuingizwa mahakama ya kadhi, ambayo hayana maslahi ya kitaifa zaidi ya kutafta kuungwa mkono na wananchi wa upande wa zanzibar.

6. Hakuna mwafaka wa maridhiano wa kundi moja la upinzani (ukawa) ambalo tayali lishatangaza kususia kushiriki katika mchakato wa kupiga kura ya katiba pendekezwa.

7. Haiwezekani kwa nchi maskini kama tanzania ifanye mambo makubwa ya kitaifa ndani ya mwaka mmoja, (a).uchaguzi wa serikali za mitaa (b).kujiandikisha na kupiga kura ya katiba pendekezwa (c) uchaguzi mkuu…ina maana hakuna mambo mengine ya kufanya? Kuna haraka gani kuyafanya haya?

8. Hata kama tutapiga kura mwaka huu, katiba hatianza kutumika mwaka huu kutokana na mchakato.

9. Kutokana na sintofahamu, kwanini serikali inaharakisha mchakato na kwanini isifanye marekebisho madogo ya katiba ya mwa 1977,kama lengo ni uchaguzi mkuu?

Viongozi wa dini wana nafasi kubwa sana katika kubariki au kukataa mchakato kutokana mamlaka na kibali mbele za mungu.

Hata nabii mussa ambaye alikuwa kiongozi wa wana wa israel, alipewa mamlaka ya kukataa au kuruhusu jambo, utaona pale alipowaongoza wana wa israel wavuke bahari ya shamu na wakatii

naona mambo yote yaliyoandikwa hapo hayana ukweli wowote kwa mfano unaposema suala la taasisi za kidini, zote zilishirikishwa vema, na suala la mahakama ya kadhi wajameni mule hakuna kipengele kilichoandikwa kuhusua mahakama ya kadhi, soma katiba inayopendekezwa sura ya tanoibara ya 41(uhuru wa imani ya dini) utapata majibu kuhusu hoja yako.
 
sijui kama wapitisha katiba wanajua hili

hizo sababu hazina mashiko kabisaa ni za kutunga tuu, hii katiba mnawivu nayo afu nawashangaa utadhani si watanzania bhana, kwani nyie wa wapi? Yani hamuitakii mema nchini yenu? Sa mnataka katiba ipi? Au ya kwenu nzuri iko wapi? Kila kukicha nyie lawaman tuu, jamani hata kwenye mazuri muonekane kusema bhana sio busara hizo na ni dhambi kwa mungu!! Khaaa
 
Mbona umejibu kienyeji saaana? nilitegemea utachambua hoja moja moja uzijibu ili tuelewe nawewe position yako. Sio lazima uongee kama huna la kuongea, mwenzio kafanya kazi kaja na hoja zake, jibu hoja kwa points zinazopingana sio usifie nzuri nzuri kwani imepakwa wanja?.....
 
mbona umejibu kienyeji saaana? Nilitegemea utachambua hoja moja moja uzijibu ili tuelewe nawewe position yako. Sio lazima uongee kama huna la kuongea, mwenzio kafanya kazi kaja na hoja zake, jibu hoja kwa points zinazopingana sio usifie nzuri nzuri kwani imepakwa wanja?.....

kwahiyo wewe akitaka apake wanja? Kwani mkeo mpaka ipakwe rangi? We wa wapi wewe au unatoka mkoa juzi juzi? Kama ni hoja mbona wewe umeweka hoja mburura?
 
kwa kweli kwa hoja hizi hii katiba ni hapana.....................

kwanza hilo jina lako halina tofauti na akili zako!! Kwahiyo watu wala hawatakushangaa unaposema hii katiba ni hapana!! Hujitambui na natilia shaka uraia wako!! Isome kabla ya kuikosoa!!
 
hizo sababu hazina mashiko kabisaa ni za kutunga tuu, hii katiba mnawivu nayo afu nawashangaa utadhani si watanzania bhana, kwani nyie wa wapi? Yani hamuitakii mema nchini yenu? Sa mnataka katiba ipi? Au ya kwenu nzuri iko wapi? Kila kukicha nyie lawaman tuu, jamani hata kwenye mazuri muonekane kusema bhana sio busara hizo na ni dhambi kwa mungu!! Khaaa
wenye akili wanakuangalia halafu .......
 
Back
Top Bottom