Sababu 10 za kwenda kwa babu....

Tom Cruise

New Member
Mar 14, 2011
3
0
Ndugu,
Sababu 10 zinazowafanya watu kujazana kwa Babu.

1.Huulizwi ugojwa 2.Hupimwi. 3.Hulazwi. 4.Huandikiwi doz 5.Hupigwi Xray 6.Hufungwi P.O.P 7.Huwekewi drip 8.Hupewi miwani 9.Huchomwi sindano. 10.Huambiwi rud kesho. watanzania hatuulizani tena umepima? Tunasema umeenda kwa BABU?Gtime.
 
Kingine ambacho ni kikubwa, wale wote walio kwenda Rolly, wakirudi hawataki kupima ili kujuwa afya zao, wanang'ang'ania tu kusema kuwa wamepona, na hali hawajapima...!

Na wengi wao walioacha kutumia dawa zao cha moto wanakiona, ila kutangaza wanaona aibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom