Saalaaaleeehh

Hakika Siri zote za maisha ya mwanadamu zi mikononi mwake Mwenyezi Mungu.
 
This boy has been restored to normalcy by a surgery on 6th of December 2010.
 
Mimi naona walitakiwa kuwa mapacha. Uumbaji wa pacha wa pili ukawa slow hiyo process ikaishiwa nguvu. Jamani kwa nini madaktari wasimfanyie huyo mtoto operation wakaondoa huyo pacha asiyekamilika?
 
Maxshimba leo ananadi Mtume Muhammad (SAW) asaliwe!


"Saalaaaleeehh"

Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar.
 
securedownload11.jpg securedownload3.jpg securedownload2.jpg securedownload1.jpg securedownload.jpg
 
its unbelievable!you can't imagine:)
...Dah! kabisa. Dogo alikuwa na wakati mgumu sana kubeba huo mzigo kwa muda wote huo ni mateso ya ajabu kabisa. Bravooo to those doctors who operated him................
 
Kila kitu hutokea kwa sababu fulani, ila kwa hili ili utukufu wa Mungu ujulikane
 
Back
Top Bottom