Saa ya ukombozi yaja,watz tuangane pamoja kuikomboa nchi yetu

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Hakika mabadiliko yanakuja,tumwombe mola atuvukishe salama katika kipindi hiki cha mabadiliko,watz wenzangu popote mlipo bila kujali dini, itikadi, rangi wala kabila tuungane pamoja kuikomboa nchi yetu kwenye mikono ya wezi wa rasmali za nchi yetu,uongozi wa nchi ni dhaifu kuanzia rais mpaka viongozi wa chini,tungane pamoja.

Rais kabariki uporaji wa nchi yetu kwa kutuletea mawazir wez, hata tubadilishe mawazir mara ngapi tatizo linabaki kuwa bado rais wetu ni dhaifu na hana nia ya dhati kushghulikia matatizo yanayowakabli watz, rais hawadabishi mawazir mpaka ashinikizwe,amekuwa mtu wa kusafir safar zisizo na tija na nchi yetu, tuige mfano wa nchi jirani wanapokuwa pamoja kwenye mambo yenye maslahi kwa taifa lao...

Nawasilisha
 
Nilitumia siku mbuili kwa .maombi na sala kusali juu ya nchi yangu Mungu atunusuru na janga hili ccm.
 
Back
Top Bottom