Saa ya kupiga picha imeisha....sitaki picha...inasikitisha, kwa nini mnamchosha Rais?

pinkmousse

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
227
88
Naangalia hafla ya viongozi mbalimbali kutunukiwa nishani TBC 1 sasa hivi,kulikuwa na photo session basi hapo ndipo nilipochoka,wacha mheshimiwa Rais aanze kuwagombeza,"changamkeni, muda wa picha sasa, changamkeni giza linaingia",na maelekezo mengine,mwisho akasema, "basi sitaki tena picha zinatosha"(huku mikono inaongea kwa nguvu kuashiria hataki), yani niliona aibu kwa niaba yake. Why! a simple thing like a photo session mpaka aingilie na kupoteza utulivu, wahusika walikuwa wanazubaa wapi?, siku nyingine wachangamke ili mheshimiwa atulie tu bila kuonekana micro manager....just saying
 
Hata mimi nimeona makanjanja wa Ikulu hawaeleweni Raisi mkali Salva kaingia msituni mtu wa itifaki anapiga kelele ovyooooooooooooo
 
Rais wenu ndivyo anavyopenda hivyo. Hapo alikuwa anajishaua tu!

Sio kujishaua mkuu.. ni kawaida yake kuwagombeza watu wanapokuwa karibu naye wakati yeye akiwa anafanya mambo yake ya picha...kumbuka alipokuwa anahutubia bunge la jamaica 25.11.2009... alisikika akimgombeza msaidizi wake na kusema..shika...usisimame hapo... bila kujali kwamba yuko live ...akihutubia sikiliza mwenye na angalia video hiyo.. link hapa chini...angalia hasa kuanzia dakika ya 30.35 na kuendelea

Link
President Jakaya M. Kikwete (Tanzania) addessing the Parliament of Jamaica Video
 
Back
Top Bottom