Saa ya kuongozwa na wachaga ama wahaya; wengine wote bomu kwa kweli

Uongozi ni uwezo binafsi wa mtu wala si kabila. Nina waswasi kuwa mtoa thread anatengeneza trick!!!
 
nimewiwa kuomba watanzania
2015 tuaachane na ukaskazini na kusini sasa tuweke watu wenye akili zao na ambao wanawae
kuendeleza nchi hii bila kutumika kama washmba pale magogoni

nimewiwa kusema hivi najua wengi akuna atakaepingana na mimi hivi vichwa hapo juu vina akili ya kutosha
usiniulize vilikula nini utototni kama uamini nenda tra bot na makampuni makubwa unayojua yenye maendelea ukikosa rutashobya
basi lyimo yuko pembeni ukikuta massawe ceo basi mutalemwa assistant akiondoka masawe na mutalemwa
ringo anakaimu nimejiuliza kama awatu hawa wanaweza kutuendeleza katika nchii nchi kwa nini tusijaribu kuwapa nchi jamani

Mungu awape mwanga wa kuona mbali jamanai uwezi kuwa waziri wa mambo ya nje miaka kumi kila mwaka uko nje alafu unafika
ikulu kila ndege ya emirates umebook wewe hii ni aibu kama wachaga sidhan wanaitaji kwenda nje kuomba misaada tutaamisha mlima kilimanjaro
urudi dar
Mkuu nilikuwa nakuheshimu sana kupita maelezo! lakini kwa upupu huu uliyomwaga hapa jamvini' wewe hauna tofauti na Mwita25,Ritz,Rejeo
GB,Jeykeywaukweli nk. Yaani wewe hufai kabisa kwenye hizi harakati zetu za kuikomboa nchi hii kwa mara ya pili. Au leo umepata mchupa?
 
[Ni Kweli wachaga wapo juu ndo mana tumeanzisha chama ili tuwakomboe watanzania.chama chetu kinazidi kukua na kukubalika sababu ya umakini wa wachaga!!
 
Naona watu wamefika ukomo wa kufikiri,

Mkishindwa nchi hii basi niuzie!
 
What i believe, watu wenye mtazamo dhaifu kama ulivyo wewe juu ya nani atuongoze mko wachache sana.
 
Mkuu hapo umekosea kusema makabila hayo si unajua mzee wa TANU alisema hao hawawezi kuongoza inji hii..je tuseme na mwl alikuwa na chembe ya ukabila?
Kweli hapo TZ inabidi mtazamo wa ukabila na udini visiwe vigezo vya kumpa mtu power and authority to lead your nation-state angalia uwezo wa mtu na sera za chama ingawa ni vigumu kukwepa.
 
Shida kubwa ya vikabila vidogo akiingia cha kwanza ni mpaka aulete mkoa wake kwenye chat ,muda huo wote miaka 5 imekwishapita.
Hao jamaa wana vichwa lakini si unakumbuka kuna watu walipewa u Pm tu,wakataka umeme kwanza ufike kwao,milima ihamie kwao etc.
Sasa wape wahaya, kuna hasira za vita vya Kag kuna ma demand pale kuna International Airport inasubiriwa, Bandari ya Kimataifa, kubadili kilimo cha kahawa na ndizi kulima mpunga ziwani etc.
Wape wachaga Uone shughuli,nenda kauilize kauli mbiu ya kina Mtei ilkuwa nini.
Mimi nadhani wacha mwenye bahati achukue tu,sidhani kama kwenye CCM,Chadema etc hamna makabila mengine zaidi ya hayo 2 mkuu.
 
[Ni Kweli wachaga wapo juu ndo mana tumeanzisha chama ili tuwakomboe watanzania.chama chetu kinazidi kukua na kukubalika sababu ya umakini wa wachaga!!

..........and this was the main theme of the thread. Kupotosha watu kwamba chama fulani ni cha kabila fulani.
Don't waste your time. We are very smart!!!
 
Ivi ata yule Mrema aliyetuliza TANROAD nae anafaa au aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya Fedha Mgonja
Sio makabila hayo tuu yana uwezo yapo yenye uwezo it all depends na mtu Magufuli,Mwakyembe,SITA etc si wa makabila hayo ila wanapiga mzigo wa maana tuu
Ila of all the tribes kwa wakwele naona tulikosea njia
 
shida kubwa ya vikabila vidogo akiingia cha kwanza ni mpaka aulete mkoa wake kwenye chat ,muda huo wote miaka 5 imekwishapita.
Hao jamaa wana vichwa lakini si unakumbuka kuna watu walipewa u pm tu,wakataka umeme kwanza ufike kwao,milima ihamie kwao etc.
Sasa wape wahaya, kuna hasira za vita vya kag kuna ma demand pale kuna international airport inasubiriwa, bandari ya kimataifa, kubadili kilimo cha kahawa na ndizi kulima mpunga ziwani etc.
Wape wachaga uone shughuli,nenda kauilize kauli mbiu ya kina mtei ilkuwa nini.
Mimi nadhani wacha mwenye bahati achukue tu,sidhani kama kwenye ccm,chadema etc hamna makabila mengine zaidi ya hayo 2 mkuu.

tatizo lako kamuulize kitilya akijibu
usiniulize nani
 
tangu niwe member hapa jamvini sijawahi kuona wewe umepost point zaid ya ujinga na mapenzi!

kama sio mapenzi babaetu angezaa na nani mpwa??mapenzi ndio yanakufanya unahangaika kila siku maisha yako yotee embu kwa mbele rekebisha kidogo ama nikusaidie
 
tuchague watu wenye sifa,makini, wanaoweza kuthubutu kutuletea mabadiliko tunayoyataka watanzania!!!
 
uongozi ni uwezo binafsi wa mtu wala si kabila. Nina waswasi kuwa mtoa thread anatengeneza trick!!!

uwezo binfsi lipumba kakaa ikulu muda gani shari seif hamada kaa sijui niseme ..ndio maana mawaziri watarajiwa tumeamua kuwapeleka wakapate elimu ya ubunge kwanza kabla atujawateua 2015
 
Back
Top Bottom