Saa imetimia - madaktari waonyesha njia

Mkuu,
Haraka sana tafuta Tabibu ambae hashiriki Mgomo akuangalie Kichwa chako, bila shaka dalili za kuharibikiwa zimepiga hodi.
Kwa hoja hizo POTOFU sidhani na wala usifikirie kuwa utawasalitisha WATANZANIA agaist each other, unahitaji zaidi ya kuwa na matatizo ya kichwa.
Madaktari wanaogoma ni WASALITI na WANAFIKI fulstop. Na anaewaunga mkono halkadhalika.
Mnajua kuna Wabongo wanaohangaika kupata Mlo wa kutwa moja??? Na hao wana haki zote za Kikatiba kama Viumbe ninyi??
Lakini hawana PRIVILAGE/TUNU kama mliotunukiwa ninyi kwa hiyo wacheni UZEMBE. Waliowapa Tunu hiyo wakikasirika (Walala hoi) watawaweka pabaya.
Kama ni hoja imeshasikika rudini kazini, kila jambo lina mstari wake, mkiuvuka mtaingia MAJARIBUNI!!

Haya gamba umeeleweka.unasema niwasaliti wakati wagonjwa wanalala chini pata picha umelala chini na umetundikiwa drp doctor anafanya kukuvuka aweze kuhudumia wagonjwa wengine kuna matatizo mengi waliyoyawasilisha na niyamsingi.waache wagome
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom