Saa 5:39 Asubuhi. Bunge linaendelea likiwa na Wabunge 23 tu.

Ni Mimi Msiogope

JF-Expert Member
May 28, 2012
352
200
Comfirmed:
Waziri wa Kilimo chakula na Ushirika anaendelea kusoma Bajeti yake huku bunge likiwa na wabunge 23 tu baada ya wabunge wengine wa Upinzani kutoka na Wengine wa CCM wakiwa hawaonekani kwenye nafasi zao. Huu uwakilishi wa aina gani?
Ni aibu kwa Bunge,
Ni aibu kwa Serikali,
Ni aibu kwa Naibu spika
Na aibu kwa Taifa.
 
Hilo ndo wanapenda ccm ili wapitishe yote bila kupingwa... shame on them
 
Nafikiri huyo waziri wa kilimo anachekelea kimoyo moyo.

Je bajeti ya kambi ya UPINZANI haitasomwa? Ina maana wale jamaa wa SUMA JKT walioba PESA na Power tiler za kilimo kwanza wame save?
 
Comfirmed:
Waziri wa Kilimo chakula na Ushirika anaendelea kusoma Bajeti yake huku bunge likiwa na wabunge 23 tu baada ya wabunge wengine wa Upinzani kutoka na Wengine wa CCM wakiwa hawaonekani kwenye nafasi zao. Huu uwakilishi wa aina gani?
Ni aibu kwa Bunge,
Ni aibu kwa Serikali,
Ni aibu kwa Naibu spika
Na aibu kwa Taifa.

Na ww nenda uwe wa 24 mkuu, unalionaje hilo ?
 
Nafikiri huyo waziri wa kilimo anachekelea kimoyo moyo.

Je bajeti ya kambi ya UPINZANI haitasomwa? Ina maana wale jamaa wa SUMA JKT walioba PESA na Power tiler za kilimo kwanza wame save?

Kuna taarifa kuwa kambi ya upinzani wanaendelea na majadiliano ikiwa waziri kivuli arudi kuwasilisha hotuba ya kambi au warudi wote baada ya kuisusia hotuba ya waziri au warudi bungeni Jumatatu.
 
Very bad,hlf wakati wa kuipitisha bajeti,utasikia ndiyo nyingi wkt hata hawajui nini kimezungumzwa!
 
Hivi Bunge halina column au akidi, ambapo ikipungua wataacha mijadala?..?
Nijuavyo mimi Bunge lenye Wabunge wanaokaribia au kuzidi 300 litapitishaje hoja wakati hata robo yao hakuna?
 
kuna mtu kaanzisha thread kwamba zitto kabaki,haya ni ya kweli wakuu??
 
Tutanyonywa sie wanyonge kodi zetu hadi tuchakae... Bunge lina wakilishi 375 kama sijakosea leo wapo 23 kujadili bajeti hata kama hesabu nilipitia kushoto robo ya bunge haijafika ama watapitisha wakiwachanganya na wahudumu walio bungeni kutosheleza idadi ifike robo ya wabunge!!
 
Comfirmed:
Waziri wa Kilimo chakula na Ushirika anaendelea kusoma Bajeti yake huku bunge likiwa na wabunge 23 tu
Ni aibu kwa Bunge,
Ni aibu kwa Serikali,
Ni aibu kwa Naibu spika
Na aibu kwa Taifa.

Ni aibu kwa Makinda
Ni aibu kwa Werema
Ni aibu kwa...
 
Hivi Bunge halina column au akidi, ambapo ikipungua wataacha mijadala?..?
Nijuavyo mimi Bunge lenye Wabunge wanaokaribia au kuzidi 300 litapitishaje hoja wakati hata robo yao hakuna?

Hiyo ni wakati wa kupitisha Budget (Kamati ya Bunge zima) lakini huku kwenye majadiliano au vipindi vya kawaida nadhani hata wakiwa wawili wanaendelea tuu
 
Tutanyonywa sie wanyonge kodi zetu hadi tuchakae... Bunge lina wakilishi 375 kama sijakosea leo wapo 23 kujadili bajeti hata kama hesabu nilipitia kushoto robo ya bunge haijafika ama watapitisha wakiwachanganya na wahudumu walio bungeni kutosheleza idadi ifike robo ya wabunge!!

Halafu bajeti yenyewe ni ya Kilimo,Chakula na Ushirika yenye ile kaulimbiu "KILIMO KWANZA".

Shame!
 
Kwani hata hao wabunge wakiwemo wote wanasaidia nini? kila jambo linalowasilishwa na serikali hupita bila mabadiliko yoyote.
 
He!Mimi naisikia hotuba kupitia redio,kumbe wametoka tena leo?Duh!Haya bana mwaka huu tutaona mengi sana aisee!!
 
Back
Top Bottom