Saa 48 kabla ya uchaguzi arumeru

Kikulacho

Member
Mar 29, 2012
33
12
Wakati zikiwa zimesalia saa 48 ili Wananchi wa Arumeru Mashariki waeze kupiga kura, ili kumpata mwakilishi wao. vyama vya CDM na CCM vina upinzani mkali na lolote laweza kutokea kati ya kimoja wapo kuibuka na ushindi je wewe unahisi ni nani ataibuka kidedea, kati ya SIOI SUMARI, ambaye anabebwa na ukogwe wa chama pamoja na Baba Mkwe wake Lowassa pamoja na Joshua Nassari, ambaye naye pamoja na kujenga hoja za ushawishi lakini na udhaifu hasa kwa kujawa na jazba na hasira pindi anapohisi anaonewa.
 
Uchaguzi wa arumeru east hauna ushindani ambao magamba mnausema. CDM wameshashinda. Magamba mnaandaa mazingira ya kuiba kura shame on you. Hatutawakubalia
 
Hapo unataka tujadili nini?
Una bahati sana nimekutukana kimoyo moyo

Back
Top Bottom