SA education system was ranked 133rd out of 142 countries in world economic forum

Nafikiri list nzima labda ni kuisaka kwenye world economic forum website mana hapo kwenye iyo source hawajaweka.ila sidhani kama education system yetu inaweza kuwa ovyo kiasi cha kuwa chini yao.labda nchi kama haiti,n.k.kaburu anawanyonga tu softly.
 
Tatizo lao nadhani liko kwenye system.msingi ukishakua mbovu lazima uvunje nyumba uanze upya.haya mavyuo ni kaburu amejitengeneza mlango wa kupata hela kutoka nje ya sa nadhani,mana ameona hawa wenyewe hawawezi kumudu ada na wala ushindani academically.sisi tuna matatizo lakini kuna wengine wanatia huruma.wazungu!mh
 
Ila ndiko wazee wenye hela wanapeleka watoto siku hizi!!! Ningekuwa nasomesha wa kike nahakikisha wanaenda Marian au St. Fransis na wa kiume Feza!!!! Imagine watu mnapeleka watoto Uganda na Kenya kule wanajua kimombo ukitaka kumhamishia Tanzania interview hawezi, kaputi.

TUIOMBEE TANZANIA KWA MUNGU, haijui inalolifanya: watu wake ndo kabisaaaaaaaa, hawajui lolote na KIBAYA, HAWAJUI KUWA HAWAJUI. HAKUNA nchi rahisi kutawala hapa duniani kama TZ, hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kuiongoza, na siku moja itakuwa koloni la RWANDA au BURUNDI. Hii ni kwa sababu ya ELIMU MBOVU, watu wanafikiri elimu ni KIINGEREZA: ona sasa matokeo yake, prof wa kemia wa TANZANIA hawezi kuandika kitabu cha kufundishia kemia form II, ni aibu ...
 
Back
Top Bottom