Elections 2010 Rwegasira akanusha kujitoa kugombea ubunge nkenge (video)

Kinachonishangaza ni kuwa watanzania wengi hawajui kuwa mhariri wa daily news... kaimu mhariri Mr Ali.... ni mfuasi wa kundi la Al Shabaab la Somalia, na alishapata mafunzo ya ughaidi kyk kambi za Al Quaeda kule Kundus, Afghanistan. Kwa hiyo jazba kwake ni kitu cha kawaida though anashindwa kujilipua mabomu, ndo maana kaamua kujilipua na habari za uzushi ili afukuzwe kazi na watanzania... Ila ajue hakuna anayeweza kuzuia mvua, umma umeamua kumpa Dr Slaa urais
 
Linalonitisha zaidi ni ukimya wa Tume ya Uchaguzi chini ya Jaji Lewis Makame na kushindwa kwao kuvikemea hivi vyombo vya Umma, Daily News na TBC kwa huu ukiukwaji wa maadili wakati kama huu wa Uchaguzi Mkuu. Wote wanajua hatari itakayolikabili taifa kama hawakutekeleza jukumu lao la kuendesha huu uchaguzi kwa umakini na bila kuonyesha upendeleo wa namna yoyote ile. Nataka nichukue nafasi hii kuwaonya kuwa wananchi wako macho na wanafuatilia kwa karibu jinsi uhuru wao wa kuchagua kiongozi bora unavyominywa na watu walio tayari kuuza utu wao kwa tamaa ya fedha na vyeo. Kuna siku itabidi wajibu na siku hiyo haiko mbali.
 
Hivi kwa nini tusiende kulipua pale TBC kituoni, Hawa wanafaaa kuonyeshwa kazi maana wanaharibu hata sifa ya nchi yetu. Natoa hoja, najua kuna wanaJF wanaweza kutupatia au hata ujuzi wa kutengeneza viazi vya muda ili tuiondoe kwenye ramani hiyo TBC.
 
Aliyeleta taarifa hiyo aliiwanukuu wana sisi m.

Maana mgombea wa sisi m jimbo la Bukoba mjini Hamis Kagasheki ndiye alikuwa wa kwanza kuyaelezea katika mkutano wake wa kampeni siku ya jumatatu eneo la miembeni wakati akihutubia kwenye kata ya miembeni.

Kisha ikatolewa katika taarifa ya habari ya redio Kasibante FM ya Bukoba ambayo inamilikiwa na Hamis mwenyewe na anaitumia kama propaganda tool ya sisi m kwa masaa 24. Na ikaenea kwa haraka sana kama moto uliokolezwa petrol huku wakiongezea kashfa nyingi.

Kumbe alipigwa tu chenga ya kisiasa. Na kwa sababu wao huwa hawajui siasa aliingia mkenge vizuuuuuuri tu, kama alivyoingia boss wake Masha, na akaanza kutangaza vitu ambavyo vinampa aibu sasa. Chadema ina wasomi wa siasa na wanajua kuicheza.

Ndivyo alivyochezwa chenga hiyo hiyo Kikwete kuwa Chadema haina mgombea na akiwa Dodoma akatangaza kuwa watashinda kwa kishindo zaidi ya 90%. Baadaye Chadema wakamuweka Dr wa kweli na leo twashuhudia Kikwete akitoa ahadi za uongo huku na kule na kulala chini ardhini akiomba kura. Kama kawaida chenga ya kisiasa imewaumbua.

Ukweli ni kwamba watu wanashangaa inakuwaje mtu mzima kama yeye anatangaza vitu asivyokuwa na hakika navyo. Ni aibu.
 
Haya tena gazeti lenu la serikali hilo!!!!!!!!!!!

THE parliamentary candidate for Nkenge constituency in Kagera region on Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mr Focus Rwegasira, has pulled out of the election race.
The Supervisor of elections in Nkenge constituency, Mr Izidore Mtalo, told reporters that Mr Rwegasira had decided to pull out on his own, without giving further details.

Following the decision, two candidates now remain in the race in Nkenge constituency. They include Ms Asumpta Mshama (CCM) and Alhaj Amri Sadick (CUF).

Meanwhile, the Parliamentary candidate in Bukoba Urban constituency on a Civic United Front (CUF) ticket, Mr Christian Kasimbazi, has prioritised education and health as burning issues he would address if he is elected MP.

Mr Kasimbazi made the pledge when addressing a campaign meeting at Nyamkazi area, in Miembeni Ward on Wednesday afternoon. He said CUF was committed to revamping the education sector by improving teaching environment and providing incentives to teachers.

"We have set aside enough funds to construct teachers' houses. CUF would also ensure that teachers in the country are paid good salaries to enable them work in a conducive environment," he said.

Mr Kasimbazi, who is himself a long-serving teacher, said he understands problems facing them and would assist in finding a lasting solution.

hiyo ndiyo daily noise. opppps DAILY NEWS
 
Naona tumevamiwa!!
wamekuja kwa mamia, nadhani lengo ni kuongezea kura pale kwenye jina la bwana wao.
 
Aliyeleta taarifa hiyo aliiwanukuu wana sisi m.

Maana mgombea wa sisi m jimbo la Bukoba mjini Hamis Kagasheki ndiye alikuwa wa kwanza kuyaelezea katika mkutano wake wa kampeni siku ya jumatatu eneo la miembeni wakati akihutubia kwenye kata ya miembeni.

Kisha ikatolewa katika taarifa ya habari ya redio Kasibante FM ya Bukoba ambayo inamilikiwa na Hamis mwenyewe na anaitumia kama propaganda tool ya sisi m kwa masaa 24. Na ikaenea kwa haraka sana kama moto uliokolezwa petrol huku wakiongezea kashfa nyingi.

Kumbe alipigwa tu chenga ya kisiasa. Na kwa sababu wao huwa hawajui siasa aliingia mkenge vizuuuuuuri tu, kama alivyoingia boss wake Masha, na akaanza kutangaza vitu ambavyo vinampa aibu sasa. Chadema ina wasomi wa siasa na wanajua kuicheza.

Ndivyo alivyochezwa chenga hiyo hiyo Kikwete kuwa Chadema haina mgombea na akiwa Dodoma akatangaza kuwa watashinda kwa kishindo zaidi ya 90%. Baadaye Chadema wakamuweka Dr wa kweli na leo twashuhudia Kikwete akitoa ahadi za uongo huku na kule na kulala chini ardhini akiomba kura. Kama kawaida chenga ya kisiasa imewaumbua.

Ukweli ni kwamba watu wanashangaa inakuwaje mtu mzima kama yeye anatangaza vitu asivyokuwa na hakika navyo. Ni aibu.
hapo kwenye bold hapo. nimepasuka kicheko kwa sana.
kaazi kweli kweli

Ukweli ni kwamba CCM inatumia propaganda kama za MANAZI wa HITLER yaani kwa gharama yeyote ile wanataka kuhakikisha kwamba hawapo hoi kisiasa.
 
Hahahaaaa! Hapo ndo napofurahi nyagi ikkshuka na mipango ikowa imenyooka!
 
Kura za JF hazipeleki mtu Ikulu, kura tunazozitaka na za 31/10/2010. hizo za JF ni za kwenu nyinyi na sisi wala hatuangaiki kupiga hapo.
 
Watu wakikemea wanasema kuwa wanachochea vurugu, jengo likichomwa moto wanasema wananchi wamejichukulia sheria mikononi. Tukinyamaza wanasema tumeishiwa la kusema, tunakuwa tunaigopa serikali wakati iko kwa ajili yetu sisi sote. Ggggggrrrrrr ggrrrr:mad2::mad2:
 
Mimi kwa kweli naona Habari Leo na Daily News wamechemsha this time lakini hivi kuandika hivi wamedanganya? :confused2:
 
Back
Top Bottom