Rwanda's Paul Kagame warned he may be charged with aiding war crimes

The vice versa is true na wewe unapata news zako from Tutsi extremist, lakini najua unasutwa moyoni kwa sababu nilichokisema ni kweli na kitaendelea kuwa kweli daima kwamba mauaji ya kimbari ya Rwanda chanzo chake ni ndege ya rais Juvenary Habyarimana kutunguliwa ndege yake kutunguliwa na majeshi ya RPF yakiongozwa na Kagame na marehem Fred Rwigema mwaka 1994 ilipokuwa inakaribia uwanja wa Kanombe - Kigari. Rwigema alifia kwenye uwanja wa mapambano kwa kupigwa risasi na sniper mwanajeshi wa iliyokuwa serikali ya Havyarimana.

Na Kagame anachafua hali ya hewa ya DRC kwa kuwa yeye anatajirika kwa kuchimba madini ya DRC, kwani where on earth Kagame akaweza kudhamini michuano ya CACEFA mpaka ikaitwa kwa jina lake km sio hiyo mijihela anayoipata kwa udanganyifu nchini DRC. Bamutu ya Congo lazima ipambane kuitoa DRC kwenye makucha ya Kagame na kwenye hima empire

Spot on mkuu, HIMA EMPIRE!
 
Back
Top Bottom