Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Unamkumbuka Prof. Mwaikusa? Unakumbuka ndandaye na Abyalimana? Unaujua udharimu wa Kagame wewe anavyoua wapinzani wake nje ya rwanda ata ndani ya Rwanda???? Ebu fungeni mijadara ya kutete mahuni wanaongoza Africa. Tena kacheleweshwa . HafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiTaarifa ya habari ya BBC Swahili , asubuhi ya leo saa 2 kupitia kwa mtangazaji wake TOM JAPAN, wametangaza kuwa Taasisi ya upelelezi ya Marekani imesema kuwa Rais Paul Kagame wa Rwanda ataweza kufikishwa kwenye Mahakama ya Hague kutokana na kufadhili silaha makundi ya waasi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. My take : Kweli ndio naanza kuamini hii mahakama ina ajenda ya siri na viongozi wa kiafrika.