Rwandair kupokea ndege ya b737/800 kesho brand new from boieng company usa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Dear Br n sis
KARIBUNI KUJUMUIKA PAMOJA KUPOKEA NDEGE YA B737/800 BRAND NEW KUTOKA BOEING COMPANY KESHO AMA MASAA MACHACHE KUTOKA SASA MJINI KIGALI KWENYE MIDA YA SAA TISA MCHANA..JUMAMOSI..HII NI KATIKA MUENDELEZO WA NYINGINE INAYOKUJA OCTOBER 27 2011 B737/800 KWA NIABA YA WANA ANGA WOTE TUNAWATAKIA KILA LA KHERI KAMPUNI HII IKIWA CHINI YA MH RAIS KAGAME NATUMAINI MAFANIKIO HAYA AWAJAYAPATA HIVI HIVI WAMEFANYA JUHUDI FULANI KUFIKA HAPO WALIPO ATUNA BUDI SASA KUWASAPOTI WALE WANAOJITAHDI

WISH YOU ALL THE BEST PRESIDENT KAGAME MANAGEMENT AND STAFF OF RWANDAIR
splash-smile.png

RwandAir has taken delivery of the first Boeing 737-800NG at a ceremony in Seattle.
[h=4]The Sky Interior cabin concept is the first on the African continent...[/h][h=4]See you on Saturday 27th August, 2011 at Kigali International Airport...[/h]
 
hongera zao sisi tunachanga hela kutwa kucha kuwezesha bajeti wkt hata matunda ya hizo bajeti ni ya mashaka,ndege kwetu ni anasa tunazo chache za precison wanatangaza jina sisi serikali tupo bize kuuza nchi, ndegeeee ndege kitu gani ya rais si inatosha? mwenye kwenda ulaya ipo KLM,emirates,swizair,ethiopia nk.
 
mbya zaidi ni gali inakuwa kama anasa we acha tu
 
Bado hawatuwezi sisi Prezi wetu ana private G6!! Bongo tunatisha!!

umenikumbusha yule nyoka wa majani sijui kafia wapi siasa aina adabu kweli labda kahisi anaibiwa kibo palace akakae pale reception
na sukubiria mwisho wa mwezi precission imeingiza ngapi achek kwenye salio na hela zetu za EPA hana adabu kweli
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom