Rwandair kuja mara tano tanzania frm 1 aug

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kampuni ya ndege ya rwandair inatarajia kuanza kuja mara tano kwa wiki nchini tanzania'
habari zilizotufikia zinasema kampuni ya rwandair ambayo imekuwa ikija tanzania mara nne
jumatatu jumatano ijumaa na jumapili imeongeza siku za jumanne kuanzia 1 aug na hivyo
kusaidia wale abiria waliokuwa wakipata shida siku za kurud...wakiongea kwa furaha baadhi
abiria wamesema wamefurahi kuona sasa wanauwezo wa kwenda rwanda na kwingineko wikiend na
nchini jumanne....pamoja na hiyo imetangaza special fare kwa abiria wa bujumbura
ambapo sasa unaweza kwenda pekee kwa doller 350 tax ikiwemo na kwenda na kurudi doller 567 tax ikiwemo
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na namba ifuatayo

rwandair'
tel no +255 717 294948
 
hope wahusika wamesikia wanaona na watalifanyia kazi
 
Ntakua naitumia hiyo kwa safari zangu za Kigoma. Maana nikishuka bujumbura pale nadaka Noah baada ya masaa mawili nipo Kigoma. Kuliko kupanda basi kutoka Dar to Kigoma nikatumia siku 2 kufika nikiwa hoi
 
Duh! Kitimoto mpaka huko? si nilisikia ni milima mitupu huko?
 
Kampuni ya ndege ya rwandair inatarajia kuanza kuja mara tano kwa wiki nchini tanzania'
habari zilizotufikia zinasema kampuni ya rwandair ambayo imekuwa ikija tanzania mara nne
jumatatu jumatano ijumaa na jumapili imeongeza siku za jumanne kuanzia 1 aug na hivyo
kusaidia wale abiria waliokuwa wakipata shida siku za kurud...wakiongea kwa furaha baadhi
abiria wamesema wamefurahi kuona sasa wanauwezo wa kwenda rwanda na kwingineko wikiend na
nchini jumanne....pamoja na hiyo imetangaza special fare kwa abiria wa bujumbura
ambapo sasa unaweza kwenda pekee kwa doller 350 tax ikiwemo na kwenda na kurudi doller 567 tax ikiwemo
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na namba ifuatayo

rwandair'
tel no +255 717 294948
Mkuu P,
Naomba kujua nauli ya Dar-Kigali ni Tshs ngapi?Vp na wao wanapunguza 25% kwa wanafunzi kama mashirika mengine?Kuna kijana wetu dent anataka awe anatumia huo usafiri.
 
mkuu ni usd 509 return na 377 usd Oneway kuuhusu dent niachie jumatatu nkimeet na mshikaji ntakuabalisha labda goodnews kwa wanaoenda Bomba ujio wa B737/800 unaileta kGL-DAR-BOM-DAR-KGL Hope wataleta changamoto
 
Mkuu P,
Naomba kujua nauli ya Dar-Kigali ni Tshs ngapi?Vp na wao wanapunguza 25% kwa wanafunzi kama mashirika mengine?Kuna kijana wetu dent anataka awe anatumia huo usafiri.

kama nyasahau mkuu wapiigie hiyo namba watakuabalisha ni ya ofisini usisahau kuna OFFER YA DARBJM USD 350 NA RETURN USD 567
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom