Rwandair kuja mara 4 tanzania;mon,wed,frid,sunday frm 01 june;b737/800 brand new kutua august

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Kampuni ya Ndege ya Rwanda-Rwandair intarajia kuanzisha safari zake na kuja mara 4 dar es salaam kuanzia june 01,habari za uhakika zilizotufikia zinasema Ndege hizo zimekuwa zikija mara 3 na kutokana na malalamiko ya watanzania na kuona umuhimu wa watanzania kuja kigali na kwenda safari zingine kupitia rwanda wameona waanzishe safari ya 4 jumapili..

Wakati huo huo kampuni ya Rwandair inatarajia kupokea ndege yake mpya ya B737/800 Brand New frm USA;katika dinner iliofanyika hivi karibun hapa dar es salaamo mmoja wa mameneja wa Rwandair amesema kampuni hiyo inataraji kupokea ndege 2 B737/800 Kwa mwaka BrandNyu kutoka KAMPUNI YA NDEGE YA BOEING MAREKANI..ndege hizo zinatarajiwa kufika kigali august 2011 na dec 2011....

Hivi karibun kampuni hiyo imeanzisha safari mpya za libreville na brazaville huku ikitegemea kuanza safari za lagos na nigeria soon kuanzia august,,,lengo nikuhakikisha sehemu zote zenye biashara watu wanakuwa rahisi kwenda na kurudi nchini mwao bila kufikira connections kama sehemu nyingine

FLY WITH RWANDAIR DREAM OF AFRICA
 
inaonekana upo nao karibu,Nauli to Nigeria bei Gani?nishawahi kupanda rwanadair service zao ni nzuri sana kuliko British Airways
 
Rwandese na Kagame ni mfano wa kuigwa......itawachukua miaka mia kenda watanzania kuwafikia wanyarwanda...
 
Jamaa watatuacha hapahapa tulipo na Lisisiemu letu limetuvunja miguu! Wana mipango inayoonekana hata ukiwa huku mbali kwa ****** kimeo.
 
ukitaka kuona jinsi ccm inavyotulostisha, angalia jinsi rwanda inavyonyayuka kwa kac. inauma sana kwa kweli. halafu bado kuna watu wanashabikia ccm! sielewi kama kwelie tuna nia njema na nchi hii
 
Back
Top Bottom