Rwanda/Security: Paul Kagame was spotted earlier today sweating in an oversize bullet-proof jacket i

Destabilized country? Mbona rais wake havai jumba kama kobe?

wacha we, enhe, vipi alikuwa bado kavaa hilo jumba kobe au?
 
Attachments

  • upload_2016-5-3_9-44-10.jpeg
    upload_2016-5-3_9-44-10.jpeg
    2.7 KB · Views: 51
Bora huyu anavaa hilo jacket kama mamia ya maraisi wengine..nkurunziza hata nyumbani hawezi kutoka..mara ya mwisho kumuona akicheza mpira ni lini? Hahaha
kwani huyo "kobe mtu" hapo juu si anachezaga tennis? Mara ya mwisho kumuona anacheza tennis lini? Na tennis inachezwa kwa kaptura sasa akivaa hilo jumba na bukta lake bullet proof si atakuwa kama kavaa pampers? :D:D:D
 
You are what you say. That makes you what mmmmh? Ngoja niwaachie wanajamii hilo jibu
 
Back
Top Bottom