Rwanda kuna watu milion 11,kuna ndege 18,Tanzania watu milion 45 hakuna hata ndege moja

tanzania tumesherekea miaka 50 ya uhuru mwaka jana,rwanda wamesherehekea mwaka huu.kwa taarifa serikali ya rwanda kupitia shirika lake la usafiri wa anga wanandege 18 wakati sisi vikogwe watz hatuna hata ndege moja ila tuna uniform za mamilioni

jionee tofauti!
 
Ujamalizia bajeti ya miaka 50 wametumia millioni 378 wakati tanzania tumetumia billion 27 bila aibu

punguzen munkali.
pesa ipo tatizo vipaumbele, huna uwezo wa kufanya maamuz, then subiri huruma tu, ushajiuliza sherehe za miaka 50 zimemnufaishaje mwananch wa kawaida?
kuweza kuhalalisha matumiz ya 27 billions
 
Huku TZ vigogo wanajithamini wao na familia zao inabidi wananchi tuamke
 
Back
Top Bottom