Rwanda kuna watu milion 11,kuna ndege 18,Tanzania watu milion 45 hakuna hata ndege moja

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
Tanzania tumesherekea miaka 50 ya uhuru mwaka jana,Rwanda wamesherehekea mwaka huu.kwa taarifa serikali ya Rwanda kupitia shirika lake la usafiri wa anga wanandege 18 wakati sisi vikogwe waTZ hatuna hata ndege moja ila tuna uniform za mamilioni
 
kupeperusha bendera ya nchi yako katika vyombo vyenye umiliki wa nje haina maana halisi kuwa vyombo vile ni vyako.....!
Otherwise na sisi tu-claim kuwa tuna MELI KUBWA NA ZA KISASA WAKATI UHALISIA NI ZA IRAN
Kila kilichopo ndani ya kapeti kikifunuliwa tutajicheka ujanja
 
Nakumbuka usemi wa babu yangu kwamba "Mbwa wengi hawakamati sungura",na pia "Panya wengi hawachimbi shimo".
 
kupeperusha bendera ya nchi yako katika vyombo vyenye umiliki wa nje haina maana halisi kuwa vyombo vile ni vyako.....!
Otherwise na sisi tu-claim kuwa tuna MELI KUBWA NA ZA KISASA WAKATI UHALISIA NI ZA IRAN
Kila kilichopo ndani ya kapeti kikifunuliwa tutajicheka ujanja

haa!!!!! kumbe
 
Shauri ya Dhaifu dhaifu dhaifu dhaifuuuuuuuuuuuu ktk nyanja zote
 
tatizo hao unaowaita watu million 45 wa tanzania umehesabia na kina LUSINDE..ila nafikiri ukitoa baadhi ya watu utakuta idadi ni kama million 12 hivi.......
 
Ujamalizia bajeti ya miaka 50 wametumia millioni 378 wakati tanzania tumetumia billion 27 bila aibu
 
Kama ni mbongo hutakiwi kushangaa kwa bongo mbona kawaida mno.Kikubwa eti tunajivunia amani hiyo amani sijui ni ipi nakati kila kukicha matukia ya ajabu mpaka Sugu ana ita janjaweel
 
sasa hizo sare wamenunua wavae wapi? shame on them si bora pesa hizo wangenunua madawati kwa wanafunzi shule zetu hizi za kayumba. yote yana ipo siku watanzania watachoka kuuzunguka mlima huu waliouzunguka kwa takribani miaka 50
 
Hivi huwa tuna angaliwa kwa mtazamo gani tunapojitambulisha kwa watu wa mataifa mengine?? Aibu sana,magamba walaaniwe.
 
Bajeti ya miaka hamsini ilikuwa billion 64 na si 27, coz ilijadiliwa sana humu jamvin enzi zile. Hizi ni laana.
 
hizo ndege zetu zipo lakini ziko in monetary form..ukizitaka nenda kwenye mabenki ya uswiss,US,UK utazikuta huko
 
Back
Top Bottom