Rwanda:Kagame accuses a Hotel Rwanda hero revisionist

there is no proof that the plane was short by kagame RPF. some think that the place was short by the Hutu extremists who had vowed to kill every Hutu who did not support their genocidal plan. that present was one of the targets by hutu extremists, as if you can remember, alikuwa anatoka Arusha kwenye mkutano kuhusu mambo hayohayo.

don't talk of reconciliation hapa, ndo maana niliwaambia someni kwanza muelewe maana ya genocide ndo muandike hapa. the situation in south africa is different from Rwanda, ile ya south haikuwa genocide, pamoja na kwamba siku hizi imeingizwa kwenye crimes against humanity. HAITAKIWI KUWEPO RECONCILIATION YEYOTE HAPA, ila wakamatwe wote waliohusika, wapelekwe Arusha wakahukumiwe. however, wana bahati, teh ICRT haitoi death penalty, so watakula tu kifungo cha maisha. ili haki iwepo, wanatakiwa kukamatwa wote na wafikishwe arusha. kama unawajua hapa tz, unatakiwa utoe taarifa tuwakamate haraka.
Umeandika mwenyewe as RPF advanced the interahamwes uses refugees as ther shield and migrated to Congo, TZ, burundi and all over the world in thousands, atushabikii uhutu wala genocide, waliuana sana. tayari imetokea wafanyaje? haya matribunal yenu sawa lakini hayatamaliza chuki, hao waliokimbia wanaishi uamishoni wanazaa na wanapandikiza chuki kwa vizazi vyao, sitashangaa kama siku moja aitatokea genocide nyingine labda EA federation izaliwe, Kusameheana hapa ndo silaha.
 
sawa mkuu, kusema kweli haiwezekani kuwapeleka wote mahakamani. wanachofanya, wanakamata tu wale viongozi wa juu waliohamasisha, hao zaidi ndo wanahukumiwa. kuna mahakama kule rwanda zinaitwa za gachacha, pia hizo zinamaliza kesi nyingi sana kwa mkupuo. NI VIGUMU SANA kuishi na mtu unayejua alimuua mkeo, mama yako tena mbele zako etc, reconciliation unayosema ni ngumu sana, wamejaribu wameshindwa, kwasababu mtu uliyekuwa unamfahamu mtaani anakuja anaua ndugu zako mbele yako, na sasahivi anarudi kukaa mtaa huohuo, si unataka kuleta vita ingine hapo....cha maana, huko waliko waishi hukohuko, kama wako tz wabaki hukohuko, labda kama east africa federation ikirudi, ndo tutawaoa hao na kuharibu kabisa ukabila huo.
 
my picture bikindi

18 march 2010
Mahakama ya ICTR yatupilia mbali rufaa ya Bikindi

Mahakama ya Kimataifa inayochunguza mauaji ya Kimbari nchini Rwanda ICTR, imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na mwimbaji maarufu wa Rwanda Simon Bikindi, kupinga hukumu aliyopewa ya miaka 15 gerezani.
Bikindi alipatikana na hatia ya kuchochea mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Jopo la majaji wa mahakama ya Rufaa kwenye mahakama hiyo, iliyoko mjini Arusha Tanzania, wamepuuzilia mbali rufaa ya Bikindi.
Mahakama hiyo, vile vile imekataa ombi la waendeshamashtaka la kutaka hukumu dhidi ya mwimbaji huyo kuongezwa zaidi. Mwaka wa 2008, mahakama hiyo inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, ilimpata na hatia Bikindi kwa kutoa hotuba iliyowachochea Wahutu kuwaua Watutsi.

BBC
 
bikindi alikuwa mwanamuziki mkuu, aliimba nyimbo za kuhamasisha mauaji ya cockroach, akimaanisha watusti, that was a pure incitement in international criminal law.
 
Mimi binafsi nilifanya kazi ya kupokea wakimbizi kutoka rwanda mwaka 1994 na niliweza kusikia na kujua mengi kuhusu mauaji yale. Siku moja nilishuhudia majasusi wa RPF wakiwakamata mashahidi/watu muhimu ktk vurugu zile na kuondoka nao kwenda rwanda na wote waliuawa..

Kifupi ni kwamba Kagame bado ana hamu ya kumdhibiti Rusesabagina kwa sababu anajua na alishuudia mengi ktk mauaji yale.

....hizi propaganda peleka kwenu huko na wenzako mnaoshare FDLR idealogue kama Wacha na babukijana,and i dont think Kagame is losing sleep kwa mtu kama Rusesabagina...all this BS is just a media driven,hakuna mtu amemwambia Rusesabagina yeye ni muuaji au anataka kumkamata kwa chochote ila aache fix zake za kujifanya hero wa mille colline wakati extremist radio ndio ilikuwa HQ yao hapo kazini kwao na mapanga yalikuwa distributed from there,ofcourse alisaidia baadhi ya watutsi ndugu zake maana mke wake na watoto wake si watutsi
 
wakuu,

the truth will always prevail. hizi information za babukijana zinatoka kwenye blog hii hapa:

http://rwandarwabanyarwanda.over-bl...rwanda-movie-hero-a-revisionist-46765167.html

hii blog is run by well known interahamwe based i believe in europe or US..so the biased information being brought to us by the "sympathisers" like babukijana....lets take their comments " with a grain of salt"

..babukijana na wacha huko ndio wanakula na kulala kusambaza idealogue zao za ant Kagame.
 
Umeandika mwenyewe as RPF advanced the interahamwes uses refugees as ther shield and migrated to Congo, TZ, burundi and all over the world in thousands, atushabikii uhutu wala genocide, waliuana sana. tayari imetokea wafanyaje? haya matribunal yenu sawa lakini hayatamaliza chuki, hao waliokimbia wanaishi uamishoni wanazaa na wanapandikiza chuki kwa vizazi vyao, sitashangaa kama siku moja aitatokea genocide nyingine labda EA federation izaliwe, Kusameheana hapa ndo silaha.

The killers must be punished & they will!
 
..babukijana na wacha huko ndio wanakula na kulala kusambaza idealogue zao za ant Kagame.

I care less who rules Rwanda or any country except Tanzania. Nimuonee wivu for what? Kitu ambacho sitaki ni nyinyi wakimbizi kufikiria Tanzania ni shamba la bibi. Stay in your country na msilete matatizo yenu kwetu - Period! Mtalia sana mwaka huu kwa sababu tumesema basi.

....hizi propaganda peleka kwenu huko na wenzako mnaoshare FDLR idealogue kama Wacha na babukijana,and i dont think Kagame is losing sleep kwa mtu kama Rusesabagina...all this BS is just a media driven,hakuna mtu amemwambia Rusesabagina yeye ni muuaji au anataka kumkamata kwa chochote ila aache fix zake za kujifanya hero wa mille colline wakati extremist radio ndio ilikuwa HQ yao hapo kazini kwao na mapanga yalikuwa distributed from there,ofcourse alisaidia baadhi ya watutsi ndugu zake maana mke wake na watoto wake si watutsi

We mkimbizi bado upo? Si ungerudi basi ukamuunge mkono zaidi?
 
I care less who rules Rwanda or any country except Tanzania. Nimuonee wivu for what? Kitu ambacho sitaki ni nyinyi wakimbizi kufikiria Tanzania ni shamba la bibi. Stay in your country na msilete matatizo yenu kwetu - Period! Mtalia sana mwaka huu kwa sababu tumesema basi.

We mkimbizi bado upo? Si ungerudi basi ukamuunge mkono zaidi?
arudi hajipendi?ataishia kupiga kelele tu kwenye keyboard na screen,usikute hata kurudi kwao kusalimia haendi anaogopa kinaweza kuwaka akiwa kigali halafu aanze process ya ukimbizi upya:)
 
wandugu, wahutu hawakufa sana. first of all, kabla hamja ongea chochote, you need to know the meaning of the term genocide. after that, naomba kuwashauri wote, nenda hata youtube tu, download clips, utapata picha kamili.

Mkuu nakubaliana na wewe kuwa idadi ya watusi waliokufa ni kubwa by far kuliko idadi ya watusi. Na ni kweli kuwa hutu fundamentalists/exremists aka interahamwe ndio wlitekeleza kazi hiyo. An walikuwa wanaongea na Rusesabagina kuhusu mipango yao, na Rusesabagina alikuwa anawachangia pesa, sio siri. Kwa hiyo Kagame akisema Paul alikuwa sympathizer naweza akusema hakosei.

Ni kweli kuna haja ya kudefine genocide in the context of what happened in Rwanda. Does it only entail killing of Tutsis, and not Hutus? And what about this below.

what about crematoriums buily by RPF at Bugesera, Ruhengeri, Byumba, Kibungo, Inyungwe and other locations, where thousands of Hutus were killed daily and their bodies were incinerated under the program called "MANPOWER DUTIES" between 1000 and 2000 Hutus were incinerated daily and their ashes spread in the fields by a tractor

What can we call this. Does anyone deny that this did not happen?

And what about the incidence of Kanazi school where 20,000 hutus were tricked to gather for a meeting with RPF and all ended up being killed.

What does it entail, can't we call this genocide simply because it was not interhamwe who killed them?

Why were Hutus who were not interhamwe flee Rwanda to Tanzania.And why RPF troops closed Rusumo when they saw them leaving the country. Kwanini yanayosemwa na wahutu kwenye mahakama za Gacaca yanaishia masikioni tu na hayingii kwenye media, na wanaosema wanapotea kimoja, why?

Kuna matendo yalifanywa Rwanda baada ya RPF kuingia(gestapo style) ambayo ni ya kikatili zaidi kuliko hata yaliyofanywa na wahutu. Lazima tuwe wakweli, mauaji Rwanda yanatakiwa kukomesha, mzizi wa chuki ni lazima uondolewe sio kupandikiza chuki na kuficha uovu. Wanyarwanda wenyewe wanajua vizuri, give them space to talk they will talk. Siamini kama wahutu wote ni wanyama au savages as some are trying to get us believe, na siamini kama watusi wote ni saints as they try to make us believe. Sasa hivi sura ya RPF imeanza kujulikana polepole na hata insiders wana-reaveal yaliyokuwa yanatendeka.
 
sema wewe mkuu wengine tukiongea tunaonekana tunashabikia interahamwe
 
Ni dhahiri kuwa genocide ni mbaya bila kujali inamlenga nani awe mhutu, mtutsi au mtu mwingine yeyote yule.

Kitu kinachonitatiza kwenye huu mjadala wa genocide ya Rwanda ni kuwa mara zote tunapewa namba ya watutsi waliouwawa (800,000) lakini hatupatiwi namba ya wahutu wenye siasa ya kati waliouwawa pamoja na watutsi. Zaidi tunaambiwa kuwa waliuawa wachache kulinganisha na watusi.

Je huu siyo ubaguzi wa wazi kuhesabu wahanga wa kabila moja tu na kuacha jingine? Hata kama waliuawa wachache ukweli unabaki kuwa kuna wahutu waliathirika sawa na watusi katika mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda.

Hivi ina maana risasi za RPF nazo zilikuwa zinaua watutsi wenzao kwani hata nao ilibidi wauwe watu ili waweze kuikomboa Rwanda. Na tuna uhakika gani kuwa askari wa RPF hawakuua wahutu kwa kulipiza kisasi cha vifo vya ndugu zao?

Tuelezewe basi ni wahutu wangapi waliuawa pamoja na watutsi laki nane kwenye genocide na ni wangapi waliuawa na RPF ili kuuondoa utawala dhalimu wa wahutu.
 
arudi hajipendi?ataishia kupiga kelele tu kwenye keyboard na screen,usikute hata kurudi kwao kusalimia haendi anaogopa kinaweza kuwaka akiwa kigali halafu aanze process ya ukimbizi upya:)

...hii akili ya panya sijui ani kamwambia mimi ni rwandese...I'M NOT!
 
mkuu nakubaliana na wewe kuwa idadi ya watusi waliokufa ni kubwa by far kuliko idadi ya watusi. Na ni kweli kuwa hutu fundamentalists/exremists aka interahamwe ndio wlitekeleza kazi hiyo. An walikuwa wanaongea na rusesabagina kuhusu mipango yao, na rusesabagina alikuwa anawachangia pesa, sio siri. Kwa hiyo kagame akisema paul alikuwa sympathizer naweza akusema hakosei.

Ni kweli kuna haja ya kudefine genocide in the context of what happened in rwanda. Does it only entail killing of tutsis, and not hutus? And what about this below.

what about crematoriums buily by rpf at bugesera, ruhengeri, byumba, kibungo, inyungwe and other locations, where thousands of hutus were killed daily and their bodies were incinerated under the program called "manpower duties" between 1000 and 2000 hutus were incinerated daily and their ashes spread in the fields by a tractor

what can we call this. Does anyone deny that this did not happen?

and what about the incidence of kanazi school where 20,000 hutus were tricked to gather for a meeting with rpf and all ended up being killed.

what does it entail, can't we call this genocide simply because it was not interhamwe who killed them?

Why were hutus who were not interhamwe flee rwanda to tanzania.and why rpf troops closed rusumo when they saw them leaving the country. Kwanini yanayosemwa na wahutu kwenye mahakama za gacaca yanaishia masikioni tu na hayingii kwenye media, na wanaosema wanapotea kimoja, why?

Kuna matendo yalifanywa rwanda baada ya rpf kuingia(gestapo style) ambayo ni ya kikatili zaidi kuliko hata yaliyofanywa na wahutu. Lazima tuwe wakweli, mauaji rwanda yanatakiwa kukomesha, mzizi wa chuki ni lazima uondolewe sio kupandikiza chuki na kuficha uovu. Wanyarwanda wenyewe wanajua vizuri, give them space to talk they will talk. Siamini kama wahutu wote ni wanyama au savages as some are trying to get us believe, na siamini kama watusi wote ni saints as they try to make us believe. Sasa hivi sura ya rpf imeanza kujulikana polepole na hata insiders wana-reaveal yaliyokuwa yanatendeka.

to defeat evil is better for the good men doing nothing
 
to defeat evil is better for the good men doing nothing

The trouble is what happens when evil defeats another evil. I can not equate evil defeating evil to good, it may be better than UN (United Nothing) sitting and watching, but not even close to good. We should have one standard in addressing the issue and in judging killers, whether Hutu extremists or Tutsi extremists.
 
Back
Top Bottom