Rwanda: Competing for the world’s top spots

Ni mara yangu ya kwanza kusikia Joka Kuu anachemka. Mkuu una bifu na Kagame?

Nchi hazina permanent interests, mjumbe hapo juu amesema iwe vipi Kabila na Kagame wanapatana? Una machungu kuliko Kabila aliyevamiwa? Wanajuana wale, kuna mjumbe pia kasema Kagame was compensating, i think he was right.

Am not for atrocities against anyone lakini nchi zote siyo Tanzania, kama Nyerere, The Greatest of All Time alikunyooshea uwanja wa kucheza, si kila mtu. Haribuni wenyewei
 
its very true,kagame amefanikiwa kuongonza nchi,ni suala la kuwa makini na kutopenda makuu ukiwa kiongozi wa nchi.

Aangalia Madiwani wa Chadema, wamefanikiwa kutoa elimu bure huko mkoa wa mara, pia miradi ya maji Karatu imefanikiwa vizuri sana. Hii inaonyesha uongozi bora na sio bora uongozi ndio vyanzo vya maendeleo ya Rwanda.

Ukishawapa wananchi wako Chakula cha uhakika, malazi, elimu, siasa huwa inafuata mwisho, angalia UK, wananchi hawana njaa ya chakula hata kipindi cha kupiga kura hamna kupaniki, na whatever gov, of the day wana uhuakika watakula na kulala salama.

Kwa sasa Rwanda iko ktk mkakati wa food security, ina maana after 10years wataweza kujilisha wenyewe, wemeanzisha mradi wa kilimo wa mpunga, soon wataanza kuexport mchele TZ and East Africa, wakati bonde la Rufiji na mradi wa RUBADA umelala fofofooo..
 
..na sisi wa-Tanzania tupeleke wanajeshi wakaibe na ku rape DRC. halafu mali zitakazopatikana zitumike kujenga nchi yetu.
Kuiba rasilimali IMO nadhani ni grand plan inayosukwa huko West...maana wao ndio wenye viwanda vinavyohitaji hayo malighafi na nishati..Kuna article moja ndefu iliwahi kuletwa hapa jamvini kuhusu Wachina walivyojipenyeza DRC. Kabila kwa sababu anahitaji fedha za kugharamia vita ameingia agreements nyingi sana directly 'kupitia Ikulu' and seems a happycompliant considering circumstances. Hivo bongo kama ikifikiria hilo la kwenda kuiba rasilimali (which I neither support nor see substance in it) kama hakuna mkono wa West tutasukwasukwa na tutaishia kuwa Zimbabwe nyingine.
 
Mbona raslimali tunaibiwa mpaka sasa hapa hapa. Jikite kuzirudisha na kulinda zilizobakia. Kuibiwa si mpaka vita, mikataba mibovu na rushwa kidogo vinatosha kuwamaliza. Tutakwendaje kuiba au kutumika wakati zimejaa kwetu. Hawawezi kutumia gharama kubwa kiasi hicho wakati chama cha majambazi kipo!
 
Tukubali kujifunza mema, mabaya yao waachieni, it's really challenging! Viongozi wetu ni domo na kutafuna mahela. Eti hapa Morogoro road, kutoka ferry ni vumbi tupu hakuna cha pavements wala nini, karibu na ofisi nyeti za umma, yaani Sebule ya nchi. Hii si aibu jamani, no no bongo ni aibu tupu!!! We need to change! Hata kama Rwanda inaiba Congo, sidhani kama hicho kiasi ndicho kinafanya mambo yote hayo!

Nakusapoti quonquerer Rwanda wanafanya vizuri sana katika ukuaji wa kiuchumi na wala sio madini waliyochukua Congo. Hapa Tanzania tatizo sio rasilimali bali uongozi mbovu, kama wenzetu Rwanda wanafanya vizuri kwa kutegemea madini ya wizi mbona sisi tunayo nyumbani lakini ubabaishaji mtupu kiasi kwamba mpaka rais anasema msongamano wa magari Dar ni maendeleo.
 
Back
Top Bottom